Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

Brother pole sana na mimi nipepata mkasa kama wako na umri wako ni kama wangu ispokua mimi amekiri kuni cheat kea jamaa fulani nae mfahamu kuzaa hapana ukweli ni kuwa wife napenda sana lakini nilipogundua mim ndo nimepelekea Hadi kanicheat nmemsamehe japo ninamaumivu bado ila nikikumbuka na mimi navochepuka imebid nmsamehe brother chukua ushauri huu tayari una watoto wako wawili kama bado moyo wako unampenda mke wako naomba msamehe molee hao watoto wote brother kosa hapo ni lako mwanamke kumuacha ni ngumu sana kukaa nae MBALi hili mimi nimejifunza
Nimechukua ushauri wako mkuu
 
kesho atacheat tena sababu na wew umecheat utamsamehe ausiooo...so sababu hakupata mimba ukaona ni sawa tuu :D :D :D :D
 
Huu ndo ushauri nzuri wanaokwambia umuache hakusaidii chochote mtatesa tu watoto tu mama haha Mimi alivokiri ameni cheat baada ya kupewa taarifaa na make wa jamaa Alie mla make wangu ilibidi nimbane akakubali nilichokuja kugundua hawa wanawake akili zap no ndogo Sana tuishi nao kwa akili sana anza maisha upya rekebisha makosa yako nianze upya brother
 
Jorome na lucy ni college mate wangu hao niliwaacha mwaka mmoja chuoni, nilipata clip zao zote nikasikiliza, mm kiukweli sitaki kuua ila nahofia huko mbeleni nawezajikuta nimetumbukia kwenye jaribu la kutokea mauaji
Kaka,hata Jerome alisema hatokuja kumuua mwanamke,ila yalotokea nadhani umeyaona au kusikia. Kaa mbali na hawa viumbe pale wanapokutendea mambo ambayo yanaiinua gadhabu yako.
So achana na huyo kiumbe kwa usalama wako na afya ya akili yako.
 
Brother pole sana na mimi nipepata mkasa kama wako na umri wako ni kama wangu ispokua mimi amekiri kuni cheat kea jamaa fulani nae mfahamu kuzaa hapana ukweli ni kuwa wife napenda sana lakini nilipogundua mim ndo nimepelekea Hadi kanicheat nmemsamehe japo ninamaumivu bado ila nikikumbuka na mimi navochepuka imebid nmsamehe brother chukua ushauri huu tayari una watoto wako wawili kama bado moyo wako unampenda mke wako naomba msamehe molee hao watoto wote brother kosa hapo ni lako mwanamke kumuacha ni ngumu sana kukaa nae MBALi hili mimi nimejifunza
hongera kusamehe kumbe mpo wasamehevu kaahh...Ila huyu kuzaa kabisa hapanaa
 
Kaka,hata Jerome alisema hatokuja kumuua mwanamke,ila yalotokea nadhani umeyaona au kusikia. Kaa mbali na hawa viumbe pale wanapokutendea mambo ambayo yanaiinua gadhabu yako.
So achana na huyo kiumbe kwa usalama wako na afya ya akili yako.
Ni vigumu sana kwa mwanaume kulea damu ya mchepuko wa mke wake. Hilo doa halifutiki. Kuliko kuendelee kuishi na mtu kwa maumivu ni bora kila mtu aende zake. Watakuja kuuana bure watoto wakakosa wazazi wote 2
 
kesho atacheat tena sababu na wew umecheat utamsamehe ausiooo...so sababu hakupata mimba ukaona ni sawa tuu :D :D :D :D
yaani kaahhh!anajiona shujaaa kabisa yaani ,ni mwanamke Mimi lakini sisapoti mke kuchiti,na hukumu ni talaka tu hakuna mjadala hapoo, mwanaume anaesamehe cheating kwa mkewe km Kaka angu ntampiga makofi kabisaa,namuona ni lofaaaaaaa
 
Umefanya uamuzi sahihi. Huko alikoenda iwe ndo moja kwa moja usimruhusu tena arudi.

Anza mchakato wa talaka.

Kulea watoto sio kazi ngumu tafuta hausigelo tu atakuwa anakaa nao na kuwapikia mpaka akili yako itakapopona ndo utafute mke mwingine (kama utahitaji).
 
Kijana wangu kama Waswahili wasemavyo, hawara hana talaka. Huyo bibie kwa experience mbalimblai niliyowahi yaona katika dunia hii ni kwamba muda wowote huyo bibie akiombwa mto wenye maringo ni lazima tu atamgeia bila wasiwasi wowote, ushauri wangu una haki ya kuukubali au kuukataa. Huyo mkeo mpeleke kwao kwa kipindi hiki mengine yatafuata baada ya tafakuri zito na kuchukua maamuzi sahihi, usifanye maamuzi sasa hivi.

Alichokufanyia ni dharau kubwa mno kwako na kizazi chako mpaka kufikia hatua ya kutaka kumpa mwanao (japo sio wa kumzaa ila kimila huyo ni mwanao) jina la hawara yake, basi sitakupa ushauri wa moja kwa moja ila kaa ufikirie sana.
 
Ni vigumu sana kwa mwanaume kulea damu ya mchepuko wa mke wake. Hilo doa halifutiki. Kuliko kuendelee kuishi na mtu kwa maumivu ni bora kila mtu aende zake. Watakuja kuuana bure watoto wakakosa wazazi wote 2
siku tu mwanamke anaropoka ndo maana nilichepuka maana yule mwanaume anajielewa sana.... :D :D :D au wanawasiliana ampeleke mtoto akamuone hizo fujo zote kuna siku ataua
 
Kaka mtu kasema hata yy ni mwanaume hawezi kukubaliana na mke wake kuzaa nje ya ndoa ni bora angefanya mapenzi tu kama kweli alikua amezidiwa ikaisha lkn sio kuzaa nje hiyo ni dharau akanambia nimpeleke kwao

Mama mkwe yy anamtetea mtoto wake ananiuliza wakati anazaa nje wewe ulikua wapi nikakata cmu sikutaka kuendelea kumsikiliza
Tatizo jingine huyu wife analazimisha kua ataondoka ila lazima aondoke na watoto wake wote,
Usikubali hilo jambo litokee, utageuka mti wa matunda ajichumie. Atatumia hao watoto kukuendesha, kama wamefikia umri wa kuruhusiwa kuwachukua komaa wabaki kwako
 
Brother wakati mwingine mambo kama haya kila mtu ana akili yake so mim nadhani niko sahihi
yaah ni kweli kaka haya mambo ni suala la kukubaliana tu... mbona kuna ndoa kila mtu analala chumba chake ila wanaishi pamoja na ukiwaona public wapo happy. Ila huyu mwenzio ukute hajawahi kuchepuka kama wew hapo hamuwezi fanana maamuzi au hata kama kawai ila roho yake imegoma ASILAZIMISHE.
 
Kijana wangu kama Waswahili wasemavyo, hawara hana talaka. Huyo bibie kwa experience mbalimblai niliyowahi yaona katika dunia hii ni kwamba muda wowote huyo bibie akiombwa mto wenye maringo ni lazima tu atamgeia bila wasiwasi wowote, ushauri wangu una haki ya kuukubali au kuukataa. Huyo mkeo mpeleke kwao kwa kipindi hiki mengine yatafuata baada ya tafakuri zito na kuchukua maamuzi sahihi, usifanye maamuzi sasa hivi.

Alichokufanyia ni dharau kubwa mno kwako na kizazi chako mpaka kufikia hatua ya kutaka kumpa mwanao (japo sio wa kumzaa ila kimila huyo ni mwanao) jina la hawara yake, basi sitakupa ushauri wa moja kwa moja ila kaa ufikirie sana.
Asante Sana nimekuelewa vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom