Wana jf,nimeona bora ntumie mda wangu mzuri kwenye mtandao wetu huu kubadilishana mawazo,nimeona FB Haina jipya,hususan mi binafsi napenda kuwa enteprenuer,2shrikiane kujenga Taifa letu Wakuu
hbu jiheshimu................kua mkarimu kwa wageniEntrepreneur gani hata hujui spelling za neno lenyewe. Wewe ni kilaza tu uliyesahau password yako ya Facebook kwahiyo ukaona ukimbilie huku
Entrepreneur gani hata hujui spelling za neno lenyewe. Wewe ni kilaza tu uliyesahau password yako ya Facebook kwahiyo ukaona ukimbilie huku