Nimeanza tena biashara ya kuuza kuku wa kienyeji kutoka Dodoma.


C

Chimulenge

Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
84
Likes
65
Points
25
C

Chimulenge

Member
Joined Sep 5, 2016
84 65 25
Wakuu Wasalaam,

Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 20 mwezi huu naanza tena kusuply kuku wa kienyeji kutokea dodoma kwa mikoa ya Morogoro na Dar es salaam

Uwezo wangu wa kusuply kwa wiki itakuwa ni kuku 250, kuku 50 kwa kila siku yaani jumatatu hadi ijumaa(250)

Hivyo basi nahitaji wanunuzi watano ambao kila mmoja kwa wiki namletea kuku hamsini au mteja mmoja ambae pia kila siku moja ya wiki atakuwa anapokea kuku hamsini.

Bei ya kuku ni ile ile 12000/=@kuku, hivyo basi kwa wale wahitaji wanaweza kuanza kuweka order zao na wangependa wapokee siku gani ya wiki.

Kwa mawasiliano nipigi kwa namba +255 716978592

Nakuhakikishia kukuuzia kuku na wala siyo vitoto vya kuku. Karibu.
 

Forum statistics

Threads 1,251,540
Members 481,766
Posts 29,775,537