Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,535
- 31,679
Wadau leo nilitoka kidogo kwa ya kuchangamana na marafiki..sasa narudi home nakuta mlango uko wazi yaani umevunjwa...kwenda sebuleni wamechukua Flat screen, laptop na external hardisc...
Hawa watu wamenikosesha amani, hapa usingizi sina hasa nikitafakari data zangu kwenye pc..yan bora hata wangeniachia external!!
Najua hapa wapo mliowai kuibiwa...hivi mliondokana vip na haya machungu??