Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

we unatafuta majanga yanayofanana na haya . Tafadhali acha kabisa hio mambo.
 
  1. Soma mpumbavu mwenzio alivyoandika uwenda nyinyi wote wahanga lkn hamjuani ........
hsankeySenior Member
#1
Saturday at 4:48 PM

Joined: Dec 30, 2015
Messages: 32

Likes Received: 20

Trophy Points: 8
Habari,

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.

Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

mume wangu: nimefika lv

mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

mme wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Msaada plz nahisi
 
Aisee huyo mamamkwe anauzuri kweli wakumzidi mkeo ? Manake kanuni zote za kuchepuka umezivunja, sijui utajifariji kwa lipi ss hapo
 
Duuu umeona unavyomwonea mwanamke ambaye ni mke wako? Kesho utasema mke wangu alitaka kuniua naomba ushauri.shame on you
 
Hizo ni laana za ukoo. Usipozishughulikia zitaendelea kizazi chako kinachokuja. Hata wewe usishangae ukaja tembea na mkweo kwa mwanao.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom