Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

Umeleta huu uzi kuzoa umaarufua au yamekukuta kweli?

Mazingira ya nyumbani kwako yakoje?

Unamiliki chumba na sebure au nyumba nzima kwa makazi ya familia yako?

Mtoto bado mdogo kwa mujibu wa maelezo yako kapatikana mwaka jana...vipi alienda na mama yake kazini au alimuacha nyumbani na housegirl?

Kama alimuacha nyumbani, ulipataje fursa ya kumgegeda mama mkwe na mbele ya mwanao au hata kama alikuwa amelala?

Jihukumu mwenyewe tu hapo mimi sina haki ya kukuhukumu lakini uzi wako unatia kinyaa
 
mkuu unafaa sana kuwa mtunzi wa riwaya za mapenzi. ukikitumia vizuri kipaji chako utatoka kimaisha.
 
Ushauri usizae watoto na mkeo utaanzisha kizazi chenye laana kwahyo bora ufe na mkosi wako
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
Siku akinasa ndo utajuwa.... na mtoto siiui mkeo atamwita nani...!!
 
umetembea na mama mkwe wako halafu unajisifu. inafika kipindi hata shetani anatushangaa kbsa. pole sana. Mungu akurehemu
 
Ase vijana wa siku hizi noma! Ila wamama nao shida tu!. Bandugu tafuta mjemba safi kwa shughuli kukuzidi wewe lipia kila kitu mlengeshe mama hapo na asisahau arabuni kukoleza mambo mama hatakukubuka tena!
 
Habari wana JF,

Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi.

Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena!

Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.

Pumbav sana!!!
 
Back
Top Bottom