Nimeanza kuwakubali redio Clouds wanatangaza Uhuru wa Tanganyika

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Hata tupindishe vipi lakini ukweli unabaki palepale ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, kwa hili naanza rasmi kuikubali hii redio, uzalendo ndio huo bana, Big Up kwa hili inapendeza.
 
JF ni kioo mkuu,haupindishwi ukweli! Kama unapenda kusikia unayoyapenda tu hapa sio mkuu.Clouds wameteleza sana, hivi karibuni naona wameanza kujirudi taratibu.tuliwaambia watafanikiwa kupitia watanzania na sio kundi la wana ccm tu! Chuki mitaani kwa hii radio zilikuwa zimeanza kupitiliza na huo ukweli hata wao wameugundua! Tutafika tu wakuu!
 
Mbona hueleweki be straight wameteleza vipi na wameanza kujirudi vipi.
 
Hata tupindishe vipi lakini ukweli unabaki palepale ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, kwa hili naanza rasmi kuikubali hii redio, uzalendo ndio huo bana, Big Up kwa hili inapendeza.

Ni sawa na kukubali uwepo wa Mbingu (heaven) lakini ukaendelea kuwatenda mabaya wanadamu na kuita hayo mabaya ndo uchaji (devout). Uzalendo hauhesabiki kwa kuafiki/kukubali uwepo wa Tanganyika. Tanganyika ni Watanganyika!
 
Mkuu kama ni msomaji mzuri wa Jf utanielewa kama unataka kuufanya moyo mgumu sawa.ila najua Clouds watabadilika sana na mapinduzi yanaanza taratibu!
 
Kuna wengine hata kuitwa mtanganyika wanaona aibu kwa hiyo si bora tumpongeze anayethubutu kuutaja?
 
ila wanasema tanzania ni 50! While in real sense walipaswa kusema Tanganyika ni 50!
 
Usipindishe thread yangu wanasema tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika sasa wewe unasikiliza redio ipi. Tune redio Clouds hata sasa wanasema wanasherehekea miaka 12 ya redio Clouds na 50 ya Tanganyika.
 
Mkuu kama ni msomaji mzuri wa Jf utanielewa kama unataka kuufanya moyo mgumu sawa.ila najua Clouds watabadilika sana na mapinduzi yanaanza taratibu!

Nitaamini watakapo kaa meza moja na Mh. Mbilinyi kwa nia ya kumaliza mgogoro wao(Wakurugezi wa Clouds na Mh.Joseph).
 
Na mimi nimemsikia mtangazaji akisema tunasherehekea miaka 50 ya Tanganyika sijui kama ni uzalendo wa mtangazaji au wa redio Clauds.
 
Usipindishe thread yangu wanasema tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika sasa wewe unasikiliza redio ipi. Tune redio Clouds hata sasa wanasema wanasherehekea miaka 12 ya redio Clouds na 50 ya Tanganyika.
Inawezekana mkuu ila tangazo lao kwa muda mrefu ilikuwa Tanzania! Wanabadilika!
 
kwakweli wanapiga bonge la kampeni lakini nawajua hawa jamaa ni opportunist hatari! Wanatumia nafasi kama hizi kunogesha profile yao na kuvuna pia.ushauri wangu wa bure kwao wasicheze na hisia za watanzania!
 
Hata tupindishe vipi lakini ukweli unabaki palepale ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, kwa hili naanza rasmi kuikubali hii redio, uzalendo ndio huo bana, Big Up kwa hili inapendeza.

What is clouds? Wtf! Mbona hujamsifia Mtikila kwa hili ambaye si tu anajiita Mtanganyika bali hupeperusha kabisa bendera ya Tanganyika.
 
Tanganyika haipo, inaexist in ur heads only, baada ya muungano tanganyika ilikwisha.

You cant eat your cake and still have it.
 
What is clouds? Wtf! Mbona hujamsifia Mtikila kwa hili ambaye si tu anajiita Mtanganyika bali hupeperusha kabisa bendera ya Tanganyika.
Wapo wengi yeye kaamua kuwataja clouds kama wewe ulivyomtaja Mtikila. Hakuna haja ya matusi
 
Kitaratibu mtu akifarika bado tutasherekea birthday yake? Tanganyika is legally 'dead' we are merely paying tribute to a defunct entity at a huge cost.
 
Hata tupindishe vipi lakini ukweli unabaki palepale ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, kwa hili naanza rasmi kuikubali hii redio, uzalendo ndio huo bana, Big Up kwa hili inapendeza.

Kwani we ulikuwa unadhani tunasherehekea miaka 50 ya nini hadi uipongeze hy clouds!?
 
Usipindishe thread yangu wanasema tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika sasa wewe unasikiliza redio ipi. Tune redio Clouds hata sasa wanasema wanasherehekea miaka 12 ya redio Clouds na 50 ya Tanganyika.

Ndugu yangu we utakuwa hausikilizi wala kuangalia hy clouds tv na redio, utakuwa unasimuliwa..Nenda time hz kawashe clouds tv kwny screen uone bendera iliyo na 50 ni ya tanganyika au ni nchi gani!? Af sikiliza we mwenyewe matangazo yao ya uhuru wanachokisema ni Tanzania ni ya 50 na sio tanganyika
 
We have union day however Tanzania independence day is a convinient political fiction.
 
Back
Top Bottom