Nimeanza kuogea Omo baada ya harufu mbaya kwenye korodani kukataa kutoka mwilini mwangu

Duuu, polee mzee...
Inaonesha hali si nzuri, Nahisi ni fungus,

Huna PE? Ukiwa maeneo ya joto sana Epuka kusunda nguo nyingi Na za kubana huko chini kibiti...
Huyu hana lolote ni mchafu ukiwa unavaa boxer safi na kavu kila siku na kujipaka poda hali inaisha siku iyo iyo
 
Korodani zipo vizuri lakini baada ya masaa kadhaa nikizipikicha zinakuwa kama zina ukurutu hivi au jasho lililo gandia. Cha ajabu kwenye korodani zangu nikitoka kuoga tu nikazifuta nasikia kama zinanata nata. Sasa sijajua kama na wengine wote wapo hivyo?
Una fungus wewe na ukiendeleza ubishi hilo pumbu litakatika!

Labda kama umeamua kufurahisha jukwaa tu.
 
Vipi kuhusu ibada?
Korodani zipo vizuri lakini baada ya masaa kadhaa nikizipikicha zinakuwa kama zina ukurutu hivi au jasho lililo gandia. Cha ajabu kwenye korodani zangu nikitoka kuoga tu nikazifuta nasikia kama zinanata nata. Sasa sijajua kama na wengine wote wapo hivyo?
Bili tatizo lilinikuta masika hii, nipo kijijini, milikua navuka maji ya kina kirefu sahiz ya korodani, aisee ilinisumhua mwez mzima,

Ukipaka lotion hamna kitu utasikia harufu ya uvundo wa bao unatoka kwenue pumbu, nmetumia kila aina ya dawa ndo balaa, ngozi yabkorodani utaona kama inatoka maganda.

DAWA
Usipake kitu chochote, ukitoka kuoga usiifute kwa kuikwangua, ukiwa unaoga usiisugue sana, akikisha imekauka ndo uvae nguo, ukiwa nyumban vaa kaptula mtepweto.

NB aisee usiipake kitu chochote iache kama ilivyo, usiipe surba inajitibu yenyewe, jitahid uwe unaoga maana ikiwa safi haitoi harufu

Usirudie nguo mara mbili
 
Wadau mwenye kujua madhara endapo nitaogea sabuni ya Omo hasa katika korodani anijuze.

Korodani zangu zinatoa sana harufu nimeanza kuogea Omo baada ya sabuni nyingine zote kudunda kuanzia detol, protex na kadhalika...
Nimeshangaa nimepitia komenti zote hakuna aliye kushauri kuhusu tiba za asili.

Mkuu nenda kwa wataalam wa tiba za asili/mitishamba naimani hao watu hawata kosa solution ya tatizo lako.

Hata hawa wamasai huwa hawakosi dawa na zinatibu kama masihara hivii ikiwezekana safiri nenda mkoani ukutane na wale wamasai halisi kabisa au hata wazee wengine walio wataalam haswa wa mitishamba.
 
Kula vitunguu swaumu punje 6,tumia mlonge wa unga walau mwezi mmoja,halafu utupe mrejesho.Au jipange uende Nairobi hospital wako vizuri sana,
 
Vp jamaa mrejesho.....unaendeleaje sasa?
Au ukafanyiwe upasuaji wakaangalie kuna nn ndani kinatoa harufu?
 
Hivi nitajie mwanamume yule ambaye Korod** zake hazinuki!!!, kwani wewe zako zina nukaje??-- kama kitu kilichooza au ???--

Halafu kumbuka humu kuna jinsia ya KE pia.
Mimi zangu hazinuki......me nadhani anamaanisha harufu inasikika hadi kero, ni kama kikwapa kila mtu ana jasho lake lkn kuna mengine ni kero akikaa mahali akiondoka anabakiza harufu hata kama kaoga na nahisi ndio tatizo alilo nalo ila sentensi za kila mtu ananuka hio haipo...pengine na wewe una tatizo sema halijafika la jamaa
 
Mkuu Kabudi,

Ungekuwa huku kwetu ningekuelekeza sehemu huwa tunapeleka kuosha ng'ombe kwenye josho, ukidumbukizwa mara mbili sidhani kama tatizo lako litaendelea.
 
Back
Top Bottom