Nimeanza kula pemba miaka 18 iliyopita.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeanza kula pemba miaka 18 iliyopita....

Discussion in 'JF Doctor' started by Paloma, Aug 30, 2012.

 1. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Naweza kusema ni super addict wa hii kitu inaitwa 'pemba' au udongo flani hivi ambao wanawake wajawazito hupenda sana kuutumia!!!
  yani nikisikia ile harufu ya kimvua kikianza kunyesha kwenye ardhi kavu natamani kujigalagaza hapo chini.....
  hivi ninavyoandika mate yananidondoka hapa manake nimeumiss.....
  Nikikosa pemba ya kuuzwa naweza kula hata ule unaotengenezwa na mchwa ule wa kwenye miti, kama kuna nyumba ya udongo hapo lazima nibomoe, nitafute kichuguu etc (im not joking jamani wala sijiendekezi)

  Je, kuna madhara yoyote ninayoweza kuja kuyapata?(manake so far sijakumbwa na chochote)
  Je nina ukosefu wa nini mpaka nile huu udongo kiasi hichi - wakati mwingine asubuhi hata kabla ya staftahi nabugia pemba mwenzenuuuu....
  Nawezaje kuuacha? Nimejaribu sana lakini nimeshindwa.....kuna dawa ya kuacha?

  Sijahawahi kuona wanaume wakila pemba - je ulaji huu unahusiana na homoni zozote labda...?
  MziziMkavu na wengineo tafadhali msaada wenu ni muhimu katika hili?

  Aksante!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  una ujauzito!!!
   
 3. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  lols! hapana mkuu sina!
  na hata nilipokuwa nao sikuwa nakula sana kama ninavyokula nikiwa sina ujauzito!!!
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  hiyo ni Roho chafu inakusumbua, nimeona watu wa namna yako wakiombewa kwa TB Joshua na wamefunguliwa...
  Madaktari wengi huja na majibu kwamba, ni dalili za ukosefu wa baadhi ya madini mwilini hivyo akili yako inakupelekea kuwa na tabia hiyo.
  Unaweza kuangalia hii link hapa chini:

  Soil Eating a Very Dangerous Habit

  au hapa

  DELIVERANCE From Eating Of SOIL & CHALK
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu watu8 sio roho chafu ndio inayomsumbuwa ana ukosefu wa Madini Mwilini itabidi akamuone Daktari Kumpa Dawa ili aondoke na hilo tatizo nielewavyo mimi badhi Wanawake walio na mimba ndio huwa wanakula huo Udongo lakini cha ajabu bibie Paloma hana Mimba na amekuwa Teja wa nguvu wa huo Udongo!!! itabidi aende Hospitali haraka akachekiwe na kupewa Dawa ili tatizo liondoke baadae kusiwe an madhara makuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  yote heri mkuu, maana nami kwa upande mwingine nimeona watu wakisumbuliwa na hiyo kitu wanaombewa na kuwa fresh...so it's up to huyo bibie kuopt tiba ya hospitali au hizo za kuombewa mwisho wa siku inabidi apone...

  Gloria (Namibian) – Delivered From Eating Anthill Soil and Chalk
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu wengine upako wengine ukosefu wa madini ila ninachoamini itakuwa madini hayo yamepungua ila ishu ya upako what if haamini kwa ilo..
   
 8. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Halafu KUMBE NI MWANAUME UMENISHANGAZA! KAMA NI UPUNGUFU WA MADINI MWILINI WATU WA SOMALIA HAWALI JAPOKUWA WANA HALI MBAYA ZAIDI?
   
 9. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dah!
  Kwakweli nimeshtushwa sana kuambiwa ni roho chafu....toba yarabiiii....kwa hivyo nifunge safari niende SCOAN?!?!?!? eti we watu8?!?!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Udongo una madini fulani ambayo mwili wako unavutiwa nayo.

  Hamna roho mchafu wala nini usiwasikilize hao holier than thou.

  Kama ukiweza kujua madini gani unayohitaji unaweza kuyapata bila kula udongo na kumaliza hili tatizo kama alivyosema Dr. Mzizimkavu hapo juu.
   
 11. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mzizi..... ntaenda kwa tabibu aisee....
  Halafu....katika mzunguko wa mwezi basi zile siku za hatari huwa nakula sana hiyo kitu - why?


   
 12. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  watu8 mimi sili chokaa, chaki, mchele, mkaa, ubuyu kwa saaana kama wale wengine! Afu ulaji wa udongo huo unaowaona huko SCOAN ni tofauti na wangu! Yani sijui nikuelezeje...siubugii kihovyohovyo ...tuseme kama mvuta sigara vile...siuwewesekei...i crave for it!

  cha ajabu hapa ofisini kuna wadada kibao wanautumia hizo pemba...ukiend akwa wauzaji wanasema wanunuzi wakubwa ni wanawake? sasa swali langu kwa nini wanawake tuuu ndo wale hizi pemba?!?!?!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Apolonary, usishangae banaaa ona avatar yangu mbona inajieleza??!?!
  Wa somalia haula ladha....sio "wa ugwadu" ndo mana hauliwi?
  Uhsaambiwa udongo wenyewe unaitwa "pemba".......dont you ask why?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Kamuone Daktari akupime ili apate kukupa dawa hapa usipoteze muda wako kushindana na watu watakuchenguwa kabisa ninakutakia kila la kheri utapona tu ukimuona Daktari Paloma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Paloma katibiwe hospitali tena kwa specialist, ikishindikana (ambayo siombei) kuna solution nyingine ambayo wakuu hapo wanaipinga.

  Pemba na mchele nami nimekula kwa kufuata mkumbo lkn si kwasababu ya kupungukiwa iron wala calcium na niliacha kwa kuamua mwenyewe (l was never addicted).
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  udongo mwekundu au wa pemba uko 'rich in iron'

  na wanawake wengi wanakuwa anaemic sababu ya mzunguko wa kila mwezi au kwa sababu zingine.

  Pia kama una ule ugonjwa wa haer..(kuota nyama sehemu za kutolea makapi) pia unasababisha kupungua damu.

  Waone wataalamu, labda unaweza kuwa na tatizo la kupungua damu.
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli ndugu yangu uamuzi nadhani utakua nao wewe maana sijajua umekuwa addict kiasi gani...anyway waweza kwenda hospitali kama wengine walivyokushauri...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180

  Akipata Annointed water km ana imani atapona tu
   
 19. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  fuata ushauri wa mzizimkavu..nenda hosp Inshaallah utapata dawa ya kuondoa tatizo hilo..pole!
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pole Sana Paloma
  Mie huo udongo siupendi kabisa na wakati nikiwa na nujauzito sijawahi kuula
  Lakini Nashangaa mwanzoni mwa mwaka huu nikawa nimeanza kuula nikipita sokoni nanunua nakula
  Siku moja nesi mmoja akanikuta nakula akauliza una Mimba nikamwambia la hasha
  Kwa nini unakula Udongo ?
  Mie nikajibu nasikia nautamani tu siku hizi
  Akanambia kesho njoo Hosp, nikaenda nilipewa vidonge fulani sikumbuki jina
  Tangu nimemaliza dose sitamani hata kuuona udongo wenyewe
  I haope Hosp watakusaidia ..
  All the best
   
Loading...