Nimeanza Biashara Ya Kukopesha, Naomba Ushauri

swahib sinjo

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
282
250
mkuu angalia tena riba yako ni kubwa sana, ina maana ukimkopesha mtu millioni moja kwa siku ni elf 50, na akikaa nayo mwezi ina maana ni million 1.5 na nusu, kwa lugha nyepesi ni kwamba mtu akikopa million moja kwa mwezi mmoja anarudisha million mbili na nusu, yaana faida ni 150%
 
APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
323
500
Unakabidhi mtaji wako kwa watu, subiri muda kidogo utajua hujui. Bora ufungue genge ufanye biashara za kawaida. Sikia kukopesha, Mkopaji anaweza akaingia mkatabata wowote unaomnyonya ili mradi tu aipate hiyo ela, akishaipata utasubiri.
riba ni mbaya hata mwenyezi mungu hapendi,utapata pesa kwasasa ila baadae mambo yatachange zile riba zote uliopokea zitayeyuka kama mshumaa
 
X wangu

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,864
2,000
Nimestaajabu tu sikujua kuwa rejesho linakuwa hvyo
Biashara ni maelewano.

elfu 10 haiwezi kushindwa kuzaa mia 5 kwa siku ambayo ni 5% kwa mtu anaefanya biashara.

mfano mtu kaenda kununua viatu vya elfu 2 kachukua pea 5.

kaenda kuuza kila pea shs 3500.

3500 * 5 = 16,500 vipi hapo hajarejesha riba na faida kapata?
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
14,674
2,000
Wazo zuri ila usikopeshe pesa nyingi kwa mtu mmoja na unaweza kuweka kiwango kwa mtu mmoja isizidi 50,000. Ni bora uwe na watu 100 uwakopeshe elfu 50 au chini ya hapo kuliko mtu mmoja kumkopesha milioni 5.
 
X wangu

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,864
2,000
mkuu angalia tena riba yako ni kubwa sana, ina maana ukimkopesha mtu millioni moja kwa siku ni elf 50, na akikaa nayo mwezi ina maana ni million 1.5 na nusu, kwa lugha nyepesi ni kwamba mtu akikopa million moja kwa mwezi mmoja anarudisha million mbili na nusu, yaana faida ni 150%
mahesabu yangu ni kwamba kila elfu 10 izae kiasi fulani cha fedha per day

maximum loan ni Tsh 50,000

maximum period of return ni 14 days

atakaekubaliana na masharti aje tukae mezani tukubaliane endapo ikishindikana tunafanyaje.

Sikuwa na uzoefu mkubwa na mikopo ndio maana nikawaza hivi
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,113
2,000
Wateja wanaokopa kwa watu binafsi huwa waaminifu ili ufikie target au uingie kwenye anga zake ndio utaona balaa lake.

kuna kipindi watumishi walikopaga sana kwa jamaa flani, wakawa wanakubaliana huko mtaani bila taarifa kufika ofisini wakawa wanaacha ATM na PSSWD kwa mkopeshaji. Kumbe wamejiunga SIMBANKING yaani mshahara ukiingia tu jamaa wanauvuta kwenye simu wote mangi anabaki anashangaa kwenda ofisini wakamdai makaratasi yaliyoidhinishwa na Mwajiri HANA.

Kiungwana watumishi waliitwa wakaambiwa wawe wanalipa vinginevyo................... Ndio pona ya mangi
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
15,113
2,000
Hii biashara ngumu sana kuna jamaa yangu kamkopesha mtu 2M jamaa kaweka rehani Brevis na Kadi yake hadi sasa ni miezi8 gari ipo uani kwani na jamaa alilipa 1.2M zilizobaki anasema hana na ipo siku atalipa. Unamfanyaje mtu kama huyu utauza gari kwa laki8 na mnafanya kazi field moja?
 
HakyaMungu mi ntatumia ukurya wangu kumkarabati mtu/watu wa hivyo

umafia utatumika kudili na watu kama hao sitakubali kufilisika kizembe😅😅
 
X wangu

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,864
2,000
Hii biashara ngumu sana kuna jamaa yangu kamkopesha mtu 2M jamaa kaweka rehani Brevis na Kadi yake hadi sasa ni miezi8 gari ipo uani kwani na jamaa alilipa 1.2M zilizobaki anasema hana na ipo siku atalipa. Unamfanyaje mtu kama huyu utauza gari kwa laki8 na mnafanya kazi field moja?
Urafiki unaua biashara
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,334
2,000
Wateja wanaokopa kwa watu binafsi huwa waaminifu ili ufikie target au uingie kwenye anga zake ndio utaona balaa lake.

kuna kipindi watumishi walikopaga sana kwa jamaa flani, wakawa wanakubaliana huko mtaani bila taarifa kufika ofisini wakawa wanaacha ATM na PSSWD kwa mkopeshaji. Kumbe wamejiunga SIMBANKING yaani mshahara ukiingia tu jamaa wanauvuta kwenye simu wote mangi anabaki anashangaa kwenda ofisini wakamdai makaratasi yaliyoidhinishwa na Mwajiri HANA.

Kiungwana watumishi waliitwa wakaambiwa wawe wanalipa vinginevyo................... Ndio pona ya mangi
Watumishi wahuni! Mangi aliisoma namba 😅😅😅 alitaka kuleta janja janja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom