Nimeanguka

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna watu wawili walikuwa wamelala kwenye kitanda cha double deck,nafikiri unakifahamu,ni kile chenye kitanda juu na chini.Katika wawili hao mmoja alikuwa binti aliyekuwa amelala juu na mwingine alikuwa kidume kilichokuwa kimelala chini.Usiku wa manane yule binti akagundua wapo wawili pale juu,si ikabidi apige kelele.Watu wakaja kwa wingi si unajua binti anavyopiga kelele akiingiwa na woga.Kuwasha taa,Hamaad;Si wakakikuta kile kidume kimelala juu wakati kilikuwa kimelala kitanda cha chini.
Si ikabidi aulizwe imekuwaje yuko juu wakati anatakiwa awe amelala kitanda cha chini.

Yule jamaa akajibu,"nimeanguka,si unajua usingizi mzito"

Bwana mmoja akahamaki,"umeanguka au umepanda"

Jamaa akasisitiza,Nimeanguka mkuu,usingizi bwana" huku akishuka eneo lake la awali.
 
huyo mkora kweli kweli angepigwa kibao cha nguvu tu .. angebwabwaja yotu ... nani kwani kawafungia chumba kimoja???? mhhh! unamfungia simba na ndama pamoja si balaa
 
huyo mkora kweli kweli angepigwa kibao cha nguvu tu .. angebwabwaja yotu ... nani kwani kawafungia chumba kimoja???? mhhh! unamfungia simba na ndama pamoja si balaa

Dada naima after reading a few of your posts i am of the opinion that you have an inclination for violence-just an observation[from experience violent, hot tempered women are the best in bed].
 
Dada naima after reading a few of your posts i am of the opinion that you have an inclination for violence-just an observation[from experience violent, hot tempered women are the best in bed].

You got it all wrong sweetheart am just having fun, i love peace, silence and listening to my heart .. otherwise i hate commotion ... and am always ready to walk away from such situations ... i cant deny it though i have a strong magnet to religion but not limited to any .. coz i respect all

Otherwise i love differing from people thus making you especially wonder wht type of person am ... and am dedicated to making you happy ... dont I ????

Cheers guy
 
.........And that makes you lazy in BED i suppose.............(j.k)
 
Hakukosea aliyetabiri tabia yako hapo juu!!!!!

jamani eeh mnanionea ... basi let me change my style i will be so coool mpaka mtashangaa .. no more fun for you guys i have to be myself now ... nisije nikakosa rafiki .. au sio
 
Back
Top Bottom