Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

Hakuna madhara yeyote
Sababu ya kifo chooni, vyoo vyetu vingi ni vidogo au vyembamba sana Mtu anapodondoka chooni Kitu cha kwanza kujibamiza ukutani ni kichwa kutoka na balance inakuwa haipo ya kutanguliza mkono chini.
Kichwa kinakuwa sehem ya break.
Ukidondoka kwenye Ardhi au sakafu kazi ya mikono inaonekana inavyofanya kazi kuzuia mwili au kiungo chochote kugusa china.
Mkono unapenda kuwa wa kwanza kugusa chini
Chooni hiko Kitu akipo kichwa kitakuwa cha kwanza kugusa ukuta
 
siumeteleza ukaanguka mawazo ya nini sasa?..

bila shaka ulikuwa haufanyi ile mambo inayoleta raha na kujitengenezea utelezi mwenyewe....

you are safe dude, kula bata...
 
Back
Top Bottom