Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

Hilo ni jeshi la wahasi ila sumu ya kuwamaliza ipo, kama umetimia maji ya moto jiandae kuwaona tena watakua wamejificha sehem
 
Kunguni hawafuati uchafu wala sio dalili ya uchafu kama chawa au mende.Kunguni au "Bed Bugs"ni wadudu wasumbufu wasioambukiza ugonjwa na wapigao kambi kwenye hostels,mahotel,siti za tren,mabasi hata meli na mahospital.

Wadudu hawa huhama na nguo,mabegi,mito nk from one place to another.

Wapigapo kambi mahali movements zao ni usiku na kumkosesha mlengwa usingizi pia kumuacha na uvimbe au muwasho mahali walipouma.

Huzaliana kwa kasi na shida nyingine ni kumuathiri mtu kisaikolojia.Imagine mtu amepanda basi halafu kunguni achomoke kwenye koti hadharani!

Tiba ni hizo za maji ya moto au mchanganyiko wa kemikali nyinginezo na sabuni,chumvi ama paraffins

Hata Kempsik na Serena unaweza kuwakuta wanatesa watu wengi mpaka wengine hudiriki kuchoma godoro au kuhama vyumba

You can google to find more informations about these notorious bugs
 
hadi uchafu wako pia unakuja kutuambia
Hawa wadudu, unawabeba kutokea masofa pendwa ya bar, daladala, bajaj, hata bodaboda unaweza kuwabeba, yaani ni very easy to transfer na a nightmare kuvunja nao undugu.
Beki 3, aweza kuja nao toka kwao, watoto wa shule boarding waweza kukuhamishia, in fact hakuna formula utawapataje.

Everyday is Saturday.................................. :cool:
 
Kunguni hawafuati uchafu wala sio dalili ya uchafu kama chawa au mende.Kunguni au "Bed Bugs"ni wadudu wasumbufu wasioambukiza ugonjwa na wapigao kambi kwenye hostels,mahotel,siti za tren,mabasi hata meli na mahospital.

Wadudu hawa huhama na nguo,mabegi,mito nk from one place to another.

Wapigapo kambi mahali movements zao ni usiku na kumkosesha mlengwa usingizi pia kumuacha na uvimbe au muwasho mahali walipouma.

Huzaliana kwa kasi na shida nyingine ni kumuathiri mtu kisaikolojia.Imagine mtu amepanda basi halafu kunguni achomoke kwenye koti hadharani!

Tiba ni hizo za maji ya moto au mchanganyiko wa kemikali nyinginezo na sabuni,chumvi ama paraffins

Hata Kempsik na Serena unaweza kuwakuta wanatesa watu wengi mpaka wengine hudiriki kuchoma godoro au kuhama vyumba

You can google to find more informations about these notorious bugs
Serena hamna huo ujinga
 
Hawa wazee waliweka kambi chumbani kwangu, aisee sio watu wazuri yaani wanagawa dozi kwa ushirikiano alafu wana masaa ya kazi, wanapishana mida ya usiku yaani ukiamka manundu mwili mzima.

Yaani nilikuwa sina muda wa kuweka alarm maana huwezi pitiwa na usingizi ukiwa na hawa wadudu ndani kwako, ukifika saa kumi utaamka kitandani utakaa kwenye kochi kupumzika kwanza.

View attachment 1591388

Sasa siku nikawaamulia baada ya kusikia kuwa sumu inawafanya wanasinzia hawafi, nikaazima bonge la sufuria la kupikia pilau lile kwa mama ntilie hapa home, nikachemsha maji hadi yakachemka then nikayamwaga kila sehem iliyokuwa na makazi yao kuanzia chaga za kitanda hadi kitanda chenyewe mpaka godoro.

Kwa sasa mwezi huu sioni hata kitoto cha kunguni
Sheria za hao wadudu wakiwa wacheche wanajificha ili wazaliane baada ya apo kazi unayo kama kawa
 
Read the attachment
IMG_20201005_225709.jpg
 
Back
Top Bottom