Nimeamua rasmi kuchukua kadi ya uanachama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua rasmi kuchukua kadi ya uanachama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Graph Theory, Dec 15, 2011.

 1. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa TZ ulipoasisiwa, sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa bali nimekuwa kama bendera, upepo unakovuma kwa kasi na mimi naelekea huko. Lakini baada ya kutafakari kwa kina nimeamua rasmi kuchukua kadi ya chama kimojawapo cha siasa, chama hiki si kingine isipokuwa chama kilicho makini katika mipango yake. Nacho si kingine isipokuwa CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM). Hii ni baada ya kuona na kutambua juu ya vyama vya upinzani kutokuwa na malengo halisi ya kushika dola.
  Kidumu chama cha mapinduziiiiiiii. Natumai jibu lako litakuwa KIDUMU.
  Mungu ibariki Afrika.
  Mungu ibariki Tanzania.
  Mungu kibariki Chama Cha Mapinduzi.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  huenda wewe ni mwehu...
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pombe ni nomaaaaa!ujiunge chama cha mapinduzi halafu Mungu akibariki Chama Bha Mapinduzi??!hiki Bha Mapinduzi kiko nchi gani mkuu
   
 4. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hongera, wewe ulikuwa mwanachama wa ccm tangu zamani, japo kadi ndo ulikuwa hujapata. Lakini kumbuka ccm ina wenyewe, wewe pia umo?:shock:
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Duh, ktk hili huna haja ya kutangaza kujiunga na CCM, maana babu yako alikuwa mwanachama, baba yako alizaliwa humo, kwa hiyo hata wewe umezaliwa humo.
  Kama ungetangaza kujiondoa humo, hiyo ingestahili kuwa habari.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,331
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Jiandae kubeba mabegi ya Nape...

  After all hicho chama kimezeeka ungejiunga kimyakimya tu bila kutusumbua
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Uamuzi sahihi kabisa mkuu
  Karibu sana Nyumbani
  Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
  OTIS
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  CCM ina wenyewe na wenyewe ndio sisi wanachama
  OTIS
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wehu wangu unatokana na kuchukua kadi ya CCM. Hujui kama kila mtu ana uhuru wa kuchagua akipendacho. Kama mimi ni mwehu nahisi wewe ni mwehu zaidi. Yaani yu a mwehu sukweadi.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,528
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ni umasikini ndo unatupunguzia uwezo na uhuru wa kufikiri!
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hayo ni makosa ya kiuandishi tu, lakini nimesharekebisha. Mungu kibariki Chama Cha Mapinduzi. Na mbariki pia mwenyekiti wa chama.
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nahisi wewe ndo umepungukiwa uwezo wa kufikiri.
   
 13. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafikiri bado hujatafari kwa kina!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,637
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280

  uamuzi uliochukuwa ni wa busara sana..... karibu kwenye chama makini ...
  :poa


  "ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  endelea kuwa bendera fuata upepo
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 17. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nenda salama na ukajiandae kuzama nacho huko huko na hizo pimajoto zako!!!!!!

   
 18. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Uwezo wako umekita mwisho
  OTIS
   
 19. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unafikiri utakuwa unalipwa posho kama kina Rejao?utasugua sana mkuu hupati hata mia,chama chenyewe kimevunjika vunjika,sasa sijui wewe umejiunga na kundi lipi?
   
 20. k

  kakin Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kama tutafika

  :nerd::nerd:
   
Loading...