Nimeamua nimwache mke wangu miezi mitatu baada ya kujifungua

Mkuu mimi siyo comedian kabisa..tena sipendi kabisa u comedy. Nadhani unafaham bei ya Aptamil. Sasa imagine kila week ninunue kopo moja. Wakati mimi nlishajua nimepata wife amebarikiwa na big boobs mtoto wangu atakuwa anashiba muda wote. Kumbe kinyume.

View attachment 1295175
Nilidhani ni comedy, ila baada ya kuona aptamil milk nahisi kiasi uko serious, ni vigumu kuijua kama ni masela tu wa kawaida
 
Hahahaahaaahahaha inebidi nicheke sana. Hawa wanaune wa Dar karibuni Tanga.

Mwanaune mzima unashindwa kujua nini cha kuandika una tutia aibu tuu hapa. Narudia ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi. Haya ni matatizo ya kutahiriwa hospital ukiwa na miezi mitatu. Nenda JANDONI ukafundwe.
Na wewe ni mwanaume? Umeanza lini kuwa mwanaume?acha kbisa.bak hivyo hivyo ulivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malezi yetu Vijana akati mwingine huwa comedy Sana. Wazazi wamejitahidi kadili ya uwezo wao, ila kijana unawangusha hatari. Sio kwamba siye wengine ni wakamilifu la hasha. Mwenzetu umevuka mipaka. Yani azalishe 3ltr kwa siku ili mtoto ashibe na asaze!?
Hivi unajua mchakato wa uzalishaji maziwa ya mama!?
Hebu mtake radhi huyo mkeo na uache matumizi ya kuberi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa sana hii comment hahahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi siyo comedian kabisa..tena sipendi kabisa u comedy. Nadhani unafaham bei ya Aptamil. Sasa imagine kila week ninunue kopo moja. Wakati mimi nlishajua nimepata wife amebarikiwa na big boobs mtoto wangu atakuwa anashiba muda wote. Kumbe kinyume.
Kopo moja bei gani? MKUU, mi sijawahi kuingia dukani kwa ajili ya kula ya mtoto MCHANGA, ingawaje nishapata wawili natafuta watatu sasa.
 
Huyu mdada moja ya sababu ambayo ilinifanya nimpende ni kuwa ana huge boobs yaani matiti makubwa. Mimi huyapenda hayo na hasa niliwaza kuwa akijifungua mtoto wetu hatopata shida ya maziwa.

Lakini pia niliona ingesaidia kubana matumizi hasa ununuaji wa maziwa ya kopo so nikaona huyu dada ndo chaguo sahihi.

But kiukweli amekuja kuwa tofauti. Nampa kila anachotaka kama supu, uji lishe, matunda, juice, mtori n.k ananenepa tu anapendeza ila shida imerudi pale pale.gharama zangu zote kama bure tu.

Mtoto hanyonyi akashiba. Inakuwa shida naanza tena kununua Aptimil kwa gharama kubwa wakati nishamgharamikia wife yeye aproduce maziwa ya mtoto.

Sasa sielewi why hatoi maziwa mengi wakati ana maboobs ya kutosha kabisa hata yanaonesha kila moja linaweza toa lita 1.5 hivyo jumla 3?

Jamani hii siyo makusudi sababu anajua tu nitanunua ya kopo? Ni bora nimwache akaone kama kuyatunza eti ili yasilale kuna faida maana najua ndo anachoogopa kuwa yakinyonywa sana eti yatalala.

Nimeamua tu nimpe siku mbili ahakikishe anatoa lita 3 kwa siku kama hawezi aende zake tu kwao. Siwezi mimi niwe namlisha vizuri halafu ambanie mtoto wangu maziwa, hilo limenifikirisha sana.

Sijui mnasemaje wadau.
Kwani huyo ni ng'ombe wa maziwa?????????
 
Nimecheka sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom