Nimeamua nigeukie dawa za tiba za asili,kujipatia kipato maana kwenye elimu naona mafanikio siyapati

mfate42

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
3,768
4,259
Ndug zangu Salam alyekum,.na wakristo bwana yesterday asifiwe na wale wapagani niaje,.na wale marasta fariii amani itawale..

Baada ya ndugu yenu kuhangaika Sana kutafuta mafanikio kwa kaelimu kadogo nlikonako,naona Sasa Ni muda wa muafaka wa Mimi kubadili gia angani..Mana naona kabisa mafanikio yamegoma. Kwa Sasa nahitaji nianze kujifunza madawa mbali mbali ya tiba za asili ili na Mimi nifungue kilinge...

Huduma ntakazokuwa natoa Ni hz ambazo naona zimekuwa zikiwasumbua Sana watu wengi reference Ni kupitia mitandaon

1. Matatzo ya nguvu za kiume

2. Matatzo ya uzazi.

3. Tumbo kujaa gesi

4.tumbo kuunguruma

5. Dawa za mvuto wa biashara..

NB..naomba Sana ushirikiano wenu Mana wateja wa Kwanza mtakuwa Ni nyie..2022 nikayabadlishe maisha yangu..
 
Back
Top Bottom