Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

wazo cyo baya ingawa wapo walioponda, ushauri wangu ni fanya kimya kimya....la sivyo intelejensia ma..ta CHAMA CHA MABWE PANDE itakuwaisha, wapo humu na bila shaka nao wamechangia sana tu. anzisha uliko kimya kimya ukiwa na strategy za nguvu.

afu anza na kuua vitoto vya polisi, akikisha kila siku kana[potea kamoja pale kota za karibu na kwenu
 
SAGANKA,
Hacha kubweka huku umejificha nyuma ya Laptop ingia front mkuu.
Mimi sijabweka wala kujificha nyuma ya laptop,saganka ni jina langu halisi,najua wewe ni vigumu kukubaliana namimi,lakini ole wako unaecheka leo maana siku zinakuja za kulia na kusaga teeth,damu ya mtu haipotei.
 
Mkuu,
When the conditions are ripe for a revolution. even a small event can act like a
spark to start a big fire.

Iko siku, watanzania wataamua hatima ya nchi yao wenyewe. Iko siku.
 
wazo cyo baya ingawa wapo walioponda, ushauri wangu ni fanya kimya kimya....la sivyo intelejensia ma..ta CHAMA CHA MABWE PANDE itakuwaisha, wapo humu na bila shaka nao wamechangia sana tu. anzisha uliko kimya kimya ukiwa na strategy za nguvu.

afu anza na kuua
vitoto vya polisi, akikisha kila siku kana[potea kamoja pale kota za karibu na kwenu

Mkuu tusifike huko! watoto hawana makosa jamani!
watu wanapiga kelele humu halafu hata kura huwa hawapigi uchaguzi ukija! Kama unachukia CCM njia sahihi kwa sasa nikuhamasisha watu nakuwapa elimu ya uraia!

Na muda wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ukifika tujitokeze kuhamasisha watu! na muda ukifika wakupige kura tukapige tuliko jiandikishia! NJE YA HAPO NIKELELE ZA KITOTO mkuu!
 
wazo cyo baya ingawa wapo walioponda, ushauri wangu ni fanya kimya kimya....la sivyo intelejensia ma..ta CHAMA CHA MABWE PANDE itakuwaisha, wapo humu na bila shaka nao wamechangia sana tu. anzisha uliko kimya kimya ukiwa na strategy za nguvu.

afu anza na kuua vitoto vya polisi, akikisha kila siku kana[potea kamoja pale kota za karibu na kwenu
Mkuu umenichekesha kweli kweli,hivyo vitoto vitajiunga tu na jeshi la ukombozi,tatizo ni hawa baba zao,namba zangu nimeweka,unaweza kupiga tu.
 
Sanganka idea yako ni nzuri lakini kwa jinsi serikali ya ccm ilivyotujenga hatuwezi kukuunga mkono'fikiria zaidi'labda uje na kitu kinaitwa kujitolea kuwa wauwaji wa siri'yaani viongozi wote wanaohatarisha amani ya watanzania tuwaue kwa siri'kuna bunduki aina nyingi na hapo ungepata wengi'hii ikikubali wataogopa kuua raia!unaonaje?kama umeipenda hiyo ni pm tuanze kazi
 
Kaza buti mkuu, ila mabwepande haijala mtu muda mrefu sana.
 
Sanganka idea yako ni nzuri lakini kwa jinsi serikali ya ccm ilivyotujenga hatuwezi kukuunga mkono'fikiria zaidi'labda uje na kitu kinaitwa kujitolea kuwa wauwaji wa siri'yaani viongozi wote wanaohatarisha amani ya watanzania tuwaue kwa siri'kuna bunduki aina nyingi na hapo ungepata wengi'hii ikikubali wataogopa kuua raia!unaonaje?kama umeipenda hiyo ni pm tuanze kazi
Namba yangu ni 0782 577 006,asante kwa kuthubutu kaka,tuwasiliane,nitakuonyesha njia nyingine nyepesi zaidi.
 
Niliahidi nitaweka namba zangu saa 8:05,samahani kwa kuchelewa kidogo,ila namba zangu ni 0782 577 006,tuwasiliane jamani.

Ulikuwa unamalizia kusajiri no mpya? Bora mawasiliano yafanyike PM, ka vipi subiri nami nikasajiri no Mpya, nitakupigia saa kumi na moja!
 
Mkuu,
When the conditions are ripe for a revolution. even a small event can act like a
spark to start a big fire.

Iko siku, watanzania wataamua hatima ya nchi yao wenyewe. Iko siku.
Serious events lead into revolution,are the three events not serious enough?
 
Namba yangu ni 0782 577 006,asante kwa kuthubutu kaka,tuwasiliane,nitakuonyesha njia nyingine nyepesi zaidi.
Ulikuwa unamalizia kusajiri no mpya? Bora mawasiliano yafanyike PM, ka vipi subiri nami nikasajiri no Mpya, nitakupigia saa kumi na moja!
namalizia pia 'kuondoa mashaka' hapo kwenye red then nakupigia ili tuungane mkuu. You are bold for sure!

Ni kweli watanzania wana hasira BUT, Hata hata laurent kabila hakuitisha watu kwa style yako ,aliingia tu msituni na kuanza harakati, wewe tangulia msitu wa gombe kule kwenye sokwe mtu then anza mapambano ntakuunga mkono .
 
Kila juha anajisifia ujuha wake safi majuha wenzio watakusifia
Sijakoma vipi bwana!mbona kuna maeneo chungu mzima ambayo ukifika huko matusi ruksa,mimi siwezi kuwa juha,au la basi ni juha mtakatifu.Kama kuna sehemu hujaelewa nipo tayari kukuelezea,ila nina uhakika kuna siku nitajitambulisha kwako na utakubali kuwa kama mie ni juha basi ni juha mtakatifu.Tafakari!
 
Kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno kufikiri,lakini mwisho bwana mmoja akasema haiwezekani tukaungana huku tukishuhudia tofauti za kiitikadi ndani ya wanajf wenyewe.Partly nakubaliana nae.

Misri walitumia hii mitandao ya kijamii kufanya mapinduzi makubwa yaliyobadilisha mfumo wa kidikteta na walau wakashuhudia hatua muhimu ya kuelekea katika demokrasia kwa kufanya uchaguzi,Tunisia nao vivyo hivyo. Nasema wanajf ni watanzania halisi kwani miongoni mwa sifa ya mtz halisi ni kulalamika tu bila kuchukua hatua.

Nchi ikifika hapa basi Mungu amjalie Kikwete aendelee kupata amani katika uongozi wake.Kwa mara nyingine wanajf naomba tutumie mitandao hii hasa kwa wale tuliopata bahati walau ya kubofya,na nadhani kwa kiasi kikubwa uoga si mkubwa sana.Matukio ya hivi karibuni(yaani ulimboka,ally zona na David)yanatosha,tusisubiri tukio jingine ili sisi tuendelee ku-comment.

Hivi kweli hii ndo kazi tuliyoichagua,tukatae,tuingie barabarani tupinge mambo haya.Aliye tayari kuninga mkono nami niko tayari kutoa namba zangu za simu.Hatuwezi kuendelea kuivumilia hii serikali dhalimu,isiyokuwa na tofauti kabisa na serikali zilizo wazi kuwa ni za kidikteta.Nitawapa namba zangu ifikapo saa nane na dakika tano mchana ili ikiwezekana tupange pakukutaniaili nasisi tuweze kuona tutafanya nini juu ya mauaji na dhuluma zinazoendelea.

Tahadhali:pandikizi asijidanganye kufika,najua hii ni hatari sana mimi kujiweka wazi,lakini ni hatari zaidi kwa pandikizi atakaedhani anaweza kunipeleka msitu wa pande
.
Karibuni tuunganishe nguvu

Mkuu nakuunga mkono by 100%.
 
nimecheka sanaa. jamaa anabidi asubiri 2015. kama wakichakachua kura.hapo sasa ndo tunabidi tuingie mtaani. au mnasemaje?
 
Mkuu nakuunga mkono by 100%.
Asante shardcole,karibu na namba yangu ni 0782 577 006, wengi waliomba niweke namba halafu hawapigi,au wanaogopa kuvutwa kupitia maongezi ya simu,kazi kweli kweli.Ukiwaona wanavyoongea kwa uchungu utadhani wanaweza kufanya maamuzi magumu,haya yanafanywa na mimi na EL tu.
 
Hakuna cha Slaa wala Mbowe, wao wenyewe ni waoga, au umesahau lile tukio la Arusha. Mbowe na umri wake wote aliweza kuruka ukuta

Hahahaha mkuu chezea kifo wewe tena Mbowe alienda pumzikia kule chini SOKO MJINGA na kumbe jamaa ni zaidi ya JUMAA IKANGAA
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom