Kwani wkt anapitisha hyo maamuzi ya kuleta hyo majenera ya richmond baraza la mawaziri walikuwa hawajui?je mzee mwenyewe alikuwa wp?"team lowassa forever"hela ipo,mtandao upo vzr nani wa kuzuia kimbuka hiki!
Wangapi wanaskendo za ufisadi na wanapeta tu. Lowassa tuuuu.
Skendo gani wewe? Kama Ufisadi Anzeni na JK mwenyewe.
lowasa ndo mpango mzima 2015