Nimeamua kuwa #Team lowassa#

miku

Senior Member
Oct 24, 2011
148
185
kila mtu cku hz hpa mjini ana team,mara team kidoto,team anaconda,team mapaja,team ma-hips!nimesoma Alama za nyakati toka juzi nimeona acha niwe Team Lowassa kuanzia Leo.
 

Attachments

  • 1387820322354.jpg
    1387820322354.jpg
    65.1 KB · Views: 277
Ungekuwa mwenyeji wa hapa JF ningeshtuka, kumbe ndo kwanza unajiunga. Kila la heri. Ila hata mi najua Lowassa ni Jembe.
 
Runchi pale mombo vipi? Aliipataje? .... na lile jengo lile la pale nanihii alilipata kwa njia halali? ufisadi haumkwepi
 
Kwani wkt anapitisha hyo maamuzi ya kuleta hyo majenera ya richmond baraza la mawaziri walikuwa hawajui?je mzee mwenyewe alikuwa wp?"team lowassa forever"hela ipo,mtandao upo vzr nani wa kuzuia kimbuka hiki!
 
Haya mambo ya team sijui huyu/huyo/yule ndiyo yanayo tuumiza watz. Matokeo yake ndiyo kuchagua viongozi mburura.
 
Kwani wkt anapitisha hyo maamuzi ya kuleta hyo majenera ya richmond baraza la mawaziri walikuwa hawajui?je mzee mwenyewe alikuwa wp?"team lowassa forever"hela ipo,mtandao upo vzr nani wa kuzuia kimbuka hiki!

Njaa uliyonayo kali sana angalia utaishia kuwolewa na hayo mafisadi!
 
Skendo gani wewe? Kama Ufisadi Anzeni na JK mwenyewe.

Kwa akili yako hiyo ya kushikiwa,unataka kusema makosa tuliyofanya 2010 tuyarudie tena 2015? jitambue kijana,acha kutumiwa na wezi wa raslimali zetu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi nilikuwa team Nchimbi sasa mmechinjia bahari sijui nihamie team gani!!!
 
Back
Top Bottom