Nimeamua kuwa mzalendo liwalo na liwe mabeberu wanatuonea sana nakinukisha

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka!

Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali Rais wangu adhalilishwe nitakuwa mzalendodaima. Nakinukisha muda si mrefu na hadi jumatatu ndege yetu itatua salama.

Screenshot_20191120-203041.jpg
Screenshot_20191120-203135.jpg
IMG_20191121_132637.jpg
 
Back
Top Bottom