Nimeamua kuwa mla rushwa ukijipendekeza nakula kichwa

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
156
1,000
Naomba kuwasalimu wote.

Binafsi kuanzia leo nImeamua kuwa MLA RUSHWA (Ya aina zote). Yaani yeyote atakaye jipendekeza kwangu nakula kichwa.

Japo nitakuwa makini Sana juu ya mazingira ya kuchukulia Rushwa.

Mbona wakubwa WANACHUKUA RUSHWA na wahasumbuliwi.

Mfano;

✓ Hivi mnadhani DAB anapata wapi pesa za kubadilisha magari kama nguo au kutoa ahadi mbalimbali kwa jamii?

> Anachukua RUSHWA kwa kuwatisha Wafanyabiashara wakubwa kuwa atawabambikizia kesi ya kuuza Madawa ya Kulevya.

✓ Hivi mnajua kwa nini ROSTAM ameanzisha kampuni ya Gesi na Mkubwa kaunga mkono wakati ni FISADI. Unajua kwa nini pia ndugu yake alikuwa amekamatwa kwa kufanya magendo lakini mahakama baada ya kumpata na hatia ikampa adhabu ya kulipa faini kiduchu?

> Alitoa Rushwa kwa CCM kwa kuwapatia Kampuni yake ya HABARI CO-OPERATION ( Wanamiliki pia Channel Ten na Magic FM) pamoja na kutoa ahadi ya Kumrudisha Mzee Lowasa CCM.

✓ Hivi unadhani kwa nini viongozi wa Upinzani baadhi waliunga mkono na kuhamia CCM?

> Walipewa Rushwa ya kurudishishiwa nyadhifa zao walizokuwa nazo awali na wengine Rushwa ya Kazi.

✓ Hivi mnadhani kwa nini wenye kesi za kuhujumu uchumi wanaachiwa?

> Wanatoa Rushwa kwa Serikali ili waachiwe huru. Si mmeona wachache waliotoa Rushwa wameachiwa.

Sasa wewe Askari, Daktari, Boss n.k unasubiri nini?

Kama mazingira yanaruhusu chukua chako mapema.

Shauri yako, Wahenga wanasema,
"MCHELEA MWANA KULIA HULIA YEYE"
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,814
2,000
We Wanjiru na Odiembo kwani siasa za Kenya zimewashinda hadi mkimbilie huku? Au Rutto kawazidi akili/ujanja wajaluo na wakikuyu?
Duppy, huwa mnajishusha sana kukumbatia siasa na sera za kibaguzi. Inaonyesha huijui jiografia na asili ya nchi hii unayoiingiza kwenye ubaguzi . Angalia orodha ya makabila ya nchi hii kama utamkosa Luo !!. Pili ukitaka watoke maana yake Tarime na Rorya huziitaji. Think about it !!

Siasa za ushabiki bila akili zinawaumbua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom