Nimeamua Kuwa Machinga, Degree nimeiweka Mfukoni Kwanza

Hakuna namna, hakuna kuremba. Nimeamua kuwa Chinga, ninauza raba za mtumba na sendo. Kwasiku nalaza net 10000-30000 baada ya kuondoa matumizi yangu.
Sina mke, sina mtoto.

Ni kazi tu, ukija na degree mtaani maisha ni magumu. Jamaa yangu nae anapiga bodaboda.
Mpango ni Malengo.
Tupige kazi wakuu, kazi ni Kazi.

Usiifikirie sana elimu uliyonayo, utaozea nyumbani.
Uamuzi murua, fanya biashara ya kichinga kisomi mbona utapiga hela sana tu.
 
Jipe moyo utayashinda,kumbuka kuokoteza elimu ya financial management mafanikio hayako mbali.
 
Back
Top Bottom