Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nimestaafu rasmi uandishi wa habari, utangazaji na pia nimestaafu rasmi jf.

Kustaafu uandishi wa habari na utangazaji ni kufuatia kuhudumu kwa muda mrefu wa kutosha katika tasnia ya habari, kuhudumu fani moja kwa miaka 30 sii haba.

Kufuatia media ethics za misingi mikuu ya fani ya uandishi wa habari, ni truthfulness, Objectivity, Impartiality na Balancing, mwandishi wa habari wa ukweli ili aweze ku practice objectivity na impartiality hapaswi kuwa mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, huwezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa halafu ukawa objective au impartial, hivyo mimi siku zote humu jf nilikuwa sina chama, lakini sasa kuanzia leo baada ya kustaafu rasmi, leo hii hii majira ya saa 10:00 asubuhi, nitaelekea pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa Polepole kujiunga rasmi CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Sababu ya kuamua kujiunga na chama cha Mapinduzi ni sababu kuu 7.
  1. CCM ndicho chama kilicholeta uhuru na ukombozi Tanzania kutoka katika makucha ya wakoloni, wakati huo kikitwa TANU. Hivyo CCM ndicho chama pekee mkombozi wa Watanzania, na ni kufuatia sifa hii, CCM kimepewa hatimiliki ya kuitawala Tanzania milele.
  2. Kufuatia kukubalika sana na kuaminika sana na Watanzania, CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uongozi na kuitawala Tanzania, hivyo unajiunga na most experienced party yenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
  3. CCM kimefanya mengi makubwa, mazuri nchini mwetu tangu tumepata uhuru kwa kuongoza vita dhidi ya maadui umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uzembe, ufisadi, ukoloni mambo leo, unyonyaji, ukupe, ukabaila, ubepari, hadi vita hizi za kisiasa za ubeberu, utandawazi na kuongoza mapambano ya kiuchumi kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati kuelekea Tanzania kuwa donor country.
  4. Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi vya siasa, lakini kiukweli kabisa, tunapozungumzia chama haswa cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa, kwa Tanzania, kiukweli kabisa tuna chama kimoja tuu cha siasa ambacho ni CCM ambacho pia ni chama dola, vyama vingine vyote ni kama vyama vijivyama au vikundi tuu vya watu wanaofanya tuu siasa, vingine ni vyama watu, vingine ni saccos na vingine ni vyama vibaraka tuu na vingine ni vya jina tuu au vyama makaratasi tuu, kule ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hivyo in reality Tanzania hatuna any serious opposition party ya kushindana na CCM, hivyo kama kuna mtu yoyote anayeamua sasa kujiunga siasa, chama pekee cha kujiunga nacho ni CCM.
  5. Sababu ya 5 na ya mwisho ni lisemwalo, lipo kama halipo linakuja. Japo mimi ni Msukuma, na jina langu la ubini ni Mayalla, siku zote nimekuwa nikielezwa na Wasukuma wa Ukweli maana ya jina Mayalla kwa Kisukuma ni ukame, drought unaosababisha famine, baa la njaa, lakini siku hizi kuna Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi. Sasa limeingia hili janga la Corona, ndio kabisa, hakuna kazi kabisa, ofisi nimefunga niko home sina hili wala lile ndipo likanijia hili wazo la kujiunga CCM na kugombea ubunge ili sasa nikawatumikie watu. Mtaji wa ubunge nimeamua kuuza kila kitu changu, kuanzia nyumba, na kila kitu kilichomo, magari, na container lililosheni mali za thamani kubwa. Kwa kuanzia nahitaji just 15M za hizo items. Nikipitishwa naiuza hiyo nyumba Thamani yake TZS 900. Mila mimi nitauza kwa TZS 500.M. Hii ndio fedha ya kampeni, Msimamizi wa Uchanguzi nimemtengea, 100M kuwapiga pingamizi wagombea wengine wote, 100M ya michango mbalimbali, 100M nakichangia Chama, 100M ya logistics na 100M ya akiba. Politics is science, political science na politics is business, you invest na zinarudi na ku multiply three fold.
  6. Kwa vile aliyenisababishia njaa hii ni Rais Magufuli kuniita njaa, kauli yake imeumba njaa, hivyo sasa najiunga CCM na kugombea ubunge jimbo fulani lililokuwa linashikiliwa na upinzani, kwasababu madhila haya amenisababishia rais Magufuli ambaye sio tuu ni home boy wangu, bali ndiye Mwenyekiti wa CCM, japo kwenye kura za maoni CCM, mimi sitaongoza, lakini siamini kama ataweza kunipita hivi hivi homeboy wake aliyemuita Njaa na kumsababishia njaa, hivyo nitateuliwa kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa 2020.
  7. Kufuatia Kukubalika sana kwa CCM nchi nzima kulikosababishwa na kasi ya Awamu ya 5, ukiishateuliwa kupeperusha bendera ya CCM, wewe unakuwa tayari ndio Mbunge mtarajiwa unaesubiri kuapishwa tuu na ili kuokoa gharama za kufanya kampeni, kama kawaida ya CCM, uchaguzi Mkuu tutautumia ule wembe wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Hivyo nitamsaidia sana rais Magufuli katika eneo la sekta ya habari.
  8. Kufuatia CCM kuwa ni watu wasiopendwa sana humu jf, nimenote wana CCM ambao ni wana jf, akiwemo Paul Makonda, Nape Mnauye, Juliana Shonza, Kigwangala, Prof. Tibaijuka, Mwigulu na wengine, hawachangii tena mijadala humu jf, hivyo na mimi nikiishajiunga tuu na kupokekewa pale CCM Lumumba na Polepole from then nitakuwa sichangii tena mijadala yoyote humu jf kama makada wengine watangulizi wangu. Nitakuwa Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat
  9. Hivyo kwa bandiko hili, kwanza nawashukuru sana wana jf kwa Ushirikiano wenu katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 10 tuliokuwa wote humu jf, nawaaga kwaherini ya kuonana, japo nitakuwa sichangii ila jf nitaendelea kuitembelea na likes nitakuwa naendelea kuzimwaga ila kiukweli nitawa miss sana na kufuatia uraibu wangu na jf, pia mimi mwenyewe nitateseka sana.
  10. Uamuzi huu wa kujinga CCM, niliufikiria siku nyingi na pia niliwashirikisha wana jf kabla ya kuufikia na hapa walinipa mawazo yao
  11. Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!. - JamiiForums
Nimalizie kwa kuwaomba Ushirikiano wenu, naombani support yenu kwa kuniunga mkono katika safari yangu hii ya kujiunga CCM, kugombea ubunge na kumsaidia rais Magufuli na kuisadia nchi yangu Tanzania.
Paskali
06:00 am

Update: 10:00 am
Saa 4:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na jf bado sija acha, naendelea kumfuatilia Polepole kujiunga CCM, siku nikifanikiwa ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.

Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali
Siku ya wajinga ila weledi/welevu tumepata message aisei..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi saikoloji yako ni ndogo sana ulichokiandika sawa na mtoto darasa LA nne LA zamani. Sasa sielewi kama umesomea vyuo vya kata kama vipo, au hujasoma kabisa.

Sikukuu ya wajinga mzee umewapata wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.jpg
 
Mkuu Pascal Mayalla, nikuulize, Kwani kujiunga na chama cha siasa ni lazima uache taaluma yako uliyosomea? Maana umeunganisha mambo mawili kwa pamoja ni kama yana mahusiano.

2. Je umejihakikishia 100% kuwa utapata huo ubunge hata kutangaza kuacha mbachao wako wa miaka 30?

3. Kwani kuwa Mbunge, ni haramu kuwa member wa JF? Mbona wengine wapo humu?

4. Kwa hiyo huduma yako ya elimu kwa umma inakuwa haina tena maana kwa vile unautaka ubunge? Au baada ya ubunge?

5. Je huoni mchango wa JF ktk kukupa wewe jina? Au unaona kuendelea kuwa mdau wa JF itakukosesha ubunge?

Umeeanza kuchanganyikiwa taratibu.
 
Heri uondoke msukuma baada ya kupigwa pin dom,umekua vuvuzela tu humu jf kusifia meko na ccm,huna jipya
tapatalk_1573674421333.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom