Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,571
- Thread starter
- #501
Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita.
Nimalizie kwa kuwaomba ushirikiano wenu, wana jf wenzangu wote, naombani support yenu kwa kuniunga mkono mwana jf mwenze katika safari yangu hii mpya ya kujiunga CCM, kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi kumuunga mkono rais Magufuli na kugombea ubunge kwa lengo sio tuu la kuwatumikia wananchi wa Tanzania kama Mbunge wao, bali pia kuonyesha uzalendo wangu na kuisadia nchi yangu na taifa langu Tanzania.
- Uamuzi huu wa kujiunga CCM, niliufikiria siku nyingi na pia niliwashirikisha wana jf kabla ya kuufikia na hapa walinipa mawazo yao Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!. - JamiiForums
Mungu Nisaidie.
Paskali
No sauti halikuwahi kuniambia nitakuwa mbunge. Ubunge ni mimi niliutaka nikaukosa kwa wajumbe kufanya Yao.Mkuu Pascal Mayalla hiyo sauti huwa inakudanganya sana, kumbuka ilikuambia utakua mbunge.
P