Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Mkuu Kipenda roho , kiukweli kabisa maneno yako haya yanachoma!. Hebu tuambiane ukweli, kwa the political dynamics za siasa zetu, mtu unayetaka kuingia kwenye the game of politics, ni chama gani cha kujiunga nacho zaidi ya CCM?.

It's not fair chama chetu tawala kuita lichama, liCCM. Pia sio fair, wana CCM wote kuwaweka tenga moja na kuwaita madhalimu.

Yes ndani ya CCM kweli kuna baadhi ni madhalimu lakini pia kuna wema wengi tuu, hivyo kuwaita wote madhalimu, sio kuwatendea haki.
P
Pasco kaka kuwa mkweli kuwa uliingia ccm sababu ni rahisi kufikia malengo yako ...kuwa mbunge kuliko kupitia chama kingine.
Na ulishawishika zaidi awamu iliyopita kwani ilikuwa ukipenya kura za maoni tayari umekamilisha ndoto zako.
 
Mbona sahivi bado upo humu? pia hivi mkuu Paschal kwa miaka 30 ulishindwa kabisa kuwekeza ukaendelea kutengemea hisani za CCM? aibu kubwa sn kama una nyumba moja kwa miaka 30, ndiyo nyie kila siku mnasema vijana wajiajiri huku nyie mnajikomba kwenye teuzi na still mna mitaji tayari.
 
Kati ya watu...Wandishi nguli ninaiwakubali ni Pascal Mayalla..
Kama CCM watashindwa kumtumia huyu jamaa...Au Kama hawaoni karama yake...
Watakuja kujuta sana baadae...Ninaoosema CCM namaanisha serikali ya CCM.
Pascal Mayalla ni Hazina Kubwa mnoo...
Kwanza yuko humble hakasiriki ovyo,Amekomaa
Anajua nini cha kusema na wakati gani!
Kila mtu ana uhuru wa kuchagua kwenda apendapo,
Sasa Matusi ya nini?
Wewe ukienda Chauma sawa ndio umeona utfaidika vyovyote vile...Ni Kazi kama sehemu nyingine...Sio lazima Uende Chadema,TLP,Udp Act,
Kqahiyo hata akienda CCm sawa tuu... kwani amessma anataka kwenda kanisani au Msikitini?
Kumbuka kote huko sio Msikitinivau kanisani useme asipoenda atapata dhambi,Au Pote ni kwa maslahi,Upinzani ni maslahi kushika dola Ccm hivyo hivyo,Mtu anaangalia wapi atapenya ,
Hutaki nenda kanisani au msikitini,Wewe unaempinga Pascal Mayalla.
 
Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari, utangazaji na pia nimestaafu rasmi jf.

Kustaafu uandishi wa habari na utangazaji ni kufuatia kuhudumu kwa muda mrefu wa kutosha katika tasnia ya habari, kuhudumu fani moja kwa miaka 30 sii haba.

Kufuatia media ethics za misingi mikuu ya fani ya uandishi wa habari, ni truthfulness, Objectivity, Impartiality na Balancing, mwandishi wa habari wa ukweli ili aweze ku practice objectivity na impartiality hapaswi kuwa mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, huwezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa halafu ukawa objective au impartial, hivyo mimi siku zote humu jf nilikuwa sina chama, lakini sasa kuanzia leo baada ya kustaafu rasmi, leo hii hii majira ya saa 10:00 asubuhi, nitaelekea pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa Polepole kujiunga rasmi CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Sababu ya kuamua kujiunga na chama cha Mapinduzi ni sababu kuu 7.
  1. CCM ndicho chama kilicholeta uhuru na ukombozi Tanzania kutoka katika makucha ya wakoloni, wakati huo kikitwa TANU. Hivyo CCM ndicho chama pekee mkombozi wa Watanzania, na ni kufuatia sifa hii, CCM kimepewa hatimiliki ya kuitawala Tanzania milele.
  2. Kufuatia kukubalika sana na kuaminika sana na Watanzania, CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uongozi na kuitawala Tanzania, hivyo unajiunga na most experienced party yenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
  3. CCM kimefanya mengi makubwa, mazuri nchini mwetu tangu tumepata uhuru kwa kuongoza vita dhidi ya maadui umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uzembe, ufisadi, ukoloni mambo leo, unyonyaji, ukupe, ukabaila, ubepari, hadi vita hizi za kisiasa za ubeberu, utandawazi na kuongoza mapambano ya kiuchumi kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati kuelekea Tanzania kuwa donor country.
  4. Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi vya siasa, lakini kiukweli kabisa, tunapozungumzia chama haswa cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa, kwa Tanzania, kiukweli kabisa tuna chama kimoja tuu cha siasa ambacho ni CCM ambacho pia ni chama dola, vyama vingine vyote ni kama vyama vijivyama au vikundi tuu vya watu wanaofanya tuu siasa, vingine ni vyama watu, vingine ni saccos na vingine ni vyama vibaraka tuu na vingine ni vya jina tuu au vyama makaratasi tuu, kule ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hivyo in reality Tanzania hatuna any serious opposition party ya kushindana na CCM, hivyo kama kuna mtu yoyote anayeamua sasa kujiunga siasa, chama pekee cha kujiunga nacho ni CCM.
  5. Sababu ya 5 na ya mwisho ni lisemwalo, lipo kama halipo linakuja. Japo mimi ni Msukuma, na jina langu la ubini ni Mayalla, siku zote nimekuwa nikielezwa na Wasukuma wa Ukweli maana ya jina Mayalla kwa Kisukuma ni ukame, drought unaosababisha famine, baa la njaa, lakini siku hizi kuna Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi. Sasa limeingia hili janga la Corona, ndio kabisa, hakuna kazi kabisa, ofisi nimefunga niko home sina hili wala lile ndipo likanijia hili wazo la kujiunga CCM na kugombea ubunge ili sasa nikawatumikie watu. Kufuatia kuweko kwa CCM mbili, CCM ya Nyerere chini ya Magufuli na Dr. Bashiru Ally ambayo sifa ya kuteuliwa kugombea ni uwezo wako wa uongozi na utumishi wa umma, na CCM Mafisadi ambapo sifa ya kuteuliwa ni urefu wa mkono wako, una weza kumwaga fwedha kiasi gani kununua uongozi. Hivyo hata kwa CCM ya Nyerere, uteuzi wa ngazi ya chini lazima us spend kidogo japo maji ya kunywa tuu kwenye vikao vya chini vya uteuzi ngazi ya kata na tarafa. Hivyo mimi najiandaa for both, CCM safi ya Nyerere chini ya Magufuli na Bashiru, na CCM Mafisadi ya "mkono mtupu haulambwi" hivyo najiandaa kwa hali na mali. Mtaji wa ubunge nimeamua kuuza kila kitu changu, kuanzia nyumba, na kila kitu kilichomo, magari, na container lililosheni mali za thamani kubwa. Kwa kuanzia nahitaji just 15M za hizo items. Nikipitishwa ndipo nausoma upepo, kama mwelekeo ni CCM mafisadi, then naiuza hiyo nyumba Thamani yake TZS 900m ila mimi nitauza kwa TZS 500m only. Hii ndio fedha ya kampeni, Msimamizi wa Uchanguzi nimemtengea, 100M kuwapiga pingamizi wagombea wengine wote ili nipite bila kupigwa. 100M ya michango mbalimbali, 100M nakichangia Chama, 100M ya logistics na 100M ya akiba. Politics is science, political science na politics is business, you invest in politics na zinarudi na ku multiply three folds, hii ya zinarudije ni masuala ya ndani, not for public consumption.
  6. Kwa vile aliyenisababishia njaa hii ni Rais Magufuli kuniita njaa, kauli yake imeumba njaa, hivyo sasa najiunga CCM na kugombea ubunge jimbo fulani lililokuwa linashikiliwa na upinzani, kwasababu madhila haya amenisababishia rais Magufuli ambaye sio tuu ni home boy wangu, bali pia ndiye Mwenyekiti wa CCM, japo kwenye kura za maoni CCM, mimi sitaongoza, lakini siamini kama ataweza kunipita hivi hivi homeboy wake aliyemuita Njaa na kumsababishia njaa, hivyo itambidi tuu anibebe na nitateuliwa kwa kubebwa ili kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa 2020. Ila ikitokea kuna mgombea more able kuliko mimi, akipitishwa nitakubali kushindwa na mimi ndio nitakuwa campaign manager wake tunalirejesha jimbo letu muhimu CCM.
  7. Kufuatia Kukubalika sana kwa CCM nchi nzima kulikosababishwa na kasi ya Awamu ya 5, ukiishateuliwa kupeperusha bendera ya CCM, wewe unakuwa tayari ndio Mbunge mtarajiwa unaesubiri tuu kuapishwa tuu na ili kuokoa gharama za kufanya kampeni, kama kawaida ya CCM, uchaguzi Mkuu tutautumia wembe ule ule wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Hivyo nitamsaidia sana rais Magufuli katika eneo la sekta ya habari ambayo kiukweli... naomba hapa nisiseme, niishie hapa.
  8. Kufuatia CCM kuwa ni watu wasiopendwa sana humu jf, nimenote wana CCM ambao ni wana jf, akiwemo Paul Makonda, Nape Mnauye, Juliana Shonza, Kigwangala, Prof. Tibaijuka, Mwigulu na wengine, wakiisha ula tuu, huwa hawachangii tena mijadala humu jf, hivyo na mimi nikiishajiunga tuu na kupokekewa pale CCM Lumumba na Polepole from then nitakuwa sichangii tena mijadala yoyote humu jf kama makada wengine watangulizi wangu. Nitakuwa Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat, ili nikiwa ndani ya CCM ndipo nitajua ni nini huwa kinatokea kwa watu kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakiishafanikiwa na kufika juu, jf wai bull shit kama dekio.
  9. Hivyo kwa bandiko hili, kwanza nawashukuru sana wana jf kwa Ushirikiano wenu katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 10 tuliokuwa wote humu jf, nikifanikiwa kujiunga CCM, nawaaga rasmi kwaherini ya kuonana, japo nitakuwa sichangii actively humu jf nitaendelea kuitembelea na likes nitakuwa naendelea kuzimwaga ila kiukweli nitawa miss sana na kufuatia uraibu wangu na jf, pia mimi mwenyewe nitateseka sana, lakini ikotokea kuwemo CCM haukatazwi kuchangia jf, then niombeeni na mnisupport kujiunga CCM ili tuwe na wana jf waandamizi ambao ni makada safi wa chama cha Mapinduzi hivyo kuipeleka JF Bungeni.
  10. Uamuzi huu wa kujiunga CCM, niliufikiria siku nyingi na pia niliwashirikisha wana jf kabla ya kuufikia na hapa walinipa mawazo yao Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!. - JamiiForums
Nimalizie kwa kuwaomba ushirikiano wenu, wana jf wenzangu wote, naombani support yenu kwa kuniunga mkono mwana jf mwenze katika safari yangu hii mpya ya kujiunga CCM, kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi kumuunga mkono rais Magufuli na kugombea ubunge kwa lengo sio tuu la kuwatumikia wananchi wa Tanzania kama Mbunge wao, bali pia kuonyesha uzalendo wangu kwa kumsaidia rais Magufuli na seikali yake na kuisadia nchi yangu na taifa langu Tanzania.
Mungu Nisaidie.
Paskali
06:00 am

Update: 10:00 am
Saa 4:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na humu jf bado nipo nipo, sijaacha, naendelea kumfuatilia Polepole ili kujiunga CCM, siku nikifanikiwa kujiunga CCM, nitawajulisha kupitia uzi huu, na baada ya kujiunga rasmi CCM, ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.

Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali
Paskali, usiitupe CCM ing'ang'anie CCM kwani ndicho chama pekee Afrika Mashariki ambacho kimewatajirisha viongozi wake bila ya kufanya biashara! CCM ina mabilionia ambao hawajawahi kuwa na leseni wala kulipa kodi ya biashara! Viongozi wa CCM ni matajiri huku wananchi ni masikini wakutupwa.
 
JamiiForums-154929259.jpg
 
Mbona sahivi bado upo humu? pia hivi mkuu Paschal kwa miaka 30 ulishindwa kabisa kuwekeza ukaendelea kutengemea hisani za CCM? aibu kubwa sn kama una nyumba moja kwa miaka 30, ndiyo nyie kila siku mnasema vijana wajiajiri huku nyie mnajikomba kwenye teuzi na still mna mitaji tayari.
Mkuu Babati , kiukweli kabisa mimi ni Mjamaa halisi, katika utumishi wangu wote wa miaka 30, ndani ya tasnia ya habari, sijawahi kupata kipato cha kuniwezesha kujenga hata kibanda!, hiki kibanda, nilimo, ni cha wife, hivyo kwa kutegemea kipato cha uandishi tuu, kiukweli ni apeche alolo!.

Hatimae umefikia bei., rangi zako hazijawahi kubadilika
 
Mkuu Kipenda roho , kiukweli kabisa maneno yako haya yanachoma!. Hebu tuambiane ukweli, kwa the political dynamics za siasa zetu, mtu unayetaka kuingia kwenye the game of politics, ni chama gani cha kujiunga nacho zaidi ya CCM?.

It's not fair chama chetu tawala kuita lichama, liCCM. Pia sio fair, wana CCM wote kuwaweka tenga moja na kuwaita madhalimu.

Yes ndani ya CCM kweli kuna baadhi ni madhalimu lakini pia kuna wema wengi tuu, hivyo kuwaita wote madhalimu, sio kuwatendea haki.
P
Niwewe uliestaafu JF au pacha wake?. kweli nimeamini MEKO hakukosea kukuita MAYALA maanayake unanjaa sana na njaa hiyo ndio itakyo kuvua pensi lako.
kweli we king'ang'anizye asseeeee!!!!
 
Paskali, usiitupe CCM ing'ang'anie CCM kwani ndicho chama pekee Afrika Mashariki ambacho kimewatajirisha viongozi wake bila ya kufanya biashara! CCM ina mabilionia ambao hawajawahi kuwa na leseni wala kulipa kodi ya biashara! Viongozi wa CCM ni matajiri huku wananchi ni masikini wakutupwa.

Mkuu elvischirwa salam kwako. CCM sio wote ni wachafu kama unavyoelezea.Hebu nikuulize Je una ujasiri wowote wa kuelekeza tuhuma zozote za ufisadi kwa Mwenyekiti wetu Mama samia Suluhu Hassani?

Ni vizuri kuwa na akiba ya maneno.

Ahsante

Pascal Mayalla
 
Unapotoa mfano wa mafanikio waliyoyapata uliowaajiri kwenye kampuni yako si vizuri kutoa mfano kwa mtu ambaye ndiyo kwanza umemuajiri. She is on the drivers seat for less than a year, take time to know her.
 
Pasco kaka kuwa mkweli kuwa uliingia ccm sababu ni rahisi kufikia malengo yako ...kuwa mbunge kuliko kupitia chama kingine.
Na ulishawishika zaidi awamu iliyopita kwani ilikuwa ukipenya kura za maoni tayari umekamilisha ndoto zako.
Aliamini kwakua yeye ni 'NZAGAMBA'ngosha angembeba kwenye ubunge wa kawe.

Hata baada ya kukosa ubunge aliamini angalau ange ambulia udisiii hata wa kasuru ndanindaniii huko,nako katoka patupuu
 
Wanabodi,
Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari, utangazaji na pia nimestaafu rasmi jf.

Kustaafu uandishi wa habari na utangazaji ni kufuatia kuhudumu kwa muda mrefu wa kutosha katika tasnia ya habari, kuhudumu fani moja kwa miaka 30 sii haba.

Kufuatia media ethics za misingi mikuu ya fani ya uandishi wa habari, ni truthfulness, Objectivity, Impartiality na Balancing, mwandishi wa habari wa ukweli ili aweze ku practice objectivity na impartiality hapaswi kuwa mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, huwezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa halafu ukawa objective au impartial, hivyo mimi siku zote humu jf nilikuwa sina chama, lakini sasa kuanzia leo baada ya kustaafu rasmi, leo hii hii majira ya saa 10:00 asubuhi, nitaelekea pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa Polepole kujiunga rasmi CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Sababu ya kuamua kujiunga na chama cha Mapinduzi ni sababu kuu 7.
  1. CCM ndicho chama kilicholeta uhuru na ukombozi Tanzania kutoka katika makucha ya wakoloni, wakati huo kikitwa TANU. Hivyo CCM ndicho chama pekee mkombozi wa Watanzania, na ni kufuatia sifa hii, CCM kimepewa hatimiliki ya kuitawala Tanzania milele.
  2. Kufuatia kukubalika sana na kuaminika sana na Watanzania, CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uongozi na kuitawala Tanzania, hivyo unajiunga na most experienced party yenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
  3. CCM kimefanya mengi makubwa, mazuri nchini mwetu tangu tumepata uhuru kwa kuongoza vita dhidi ya maadui umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uzembe, ufisadi, ukoloni mambo leo, unyonyaji, ukupe, ukabaila, ubepari, hadi vita hizi za kisiasa za ubeberu, utandawazi na kuongoza mapambano ya kiuchumi kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati kuelekea Tanzania kuwa donor country.
  4. Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi vya siasa, lakini kiukweli kabisa, tunapozungumzia chama haswa cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa, kwa Tanzania, kiukweli kabisa tuna chama kimoja tuu cha siasa ambacho ni CCM ambacho pia ni chama dola, vyama vingine vyote ni kama vyama vijivyama au vikundi tuu vya watu wanaofanya tuu siasa, vingine ni vyama watu, vingine ni saccos na vingine ni vyama vibaraka tuu na vingine ni vya jina tuu au vyama makaratasi tuu, kule ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hivyo in reality Tanzania hatuna any serious opposition party ya kushindana na CCM, hivyo kama kuna mtu yoyote anayeamua sasa kujiunga siasa, chama pekee cha kujiunga nacho ni CCM.
  5. Sababu ya 5 na ya mwisho ni lisemwalo, lipo kama halipo linakuja. Japo mimi ni Msukuma, na jina langu la ubini ni Mayalla, siku zote nimekuwa nikielezwa na Wasukuma wa Ukweli maana ya jina Mayalla kwa Kisukuma ni ukame, drought unaosababisha famine, baa la njaa, lakini siku hizi kuna Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi. Sasa limeingia hili janga la Corona, ndio kabisa, hakuna kazi kabisa, ofisi nimefunga niko home sina hili wala lile ndipo likanijia hili wazo la kujiunga CCM na kugombea ubunge ili sasa nikawatumikie watu. Kufuatia kuweko kwa CCM mbili, CCM ya Nyerere chini ya Magufuli na Dr. Bashiru Ally ambayo sifa ya kuteuliwa kugombea ni uwezo wako wa uongozi na utumishi wa umma, na CCM Mafisadi ambapo sifa ya kuteuliwa ni urefu wa mkono wako, una weza kumwaga fwedha kiasi gani kununua uongozi. Hivyo hata kwa CCM ya Nyerere, uteuzi wa ngazi ya chini lazima us spend kidogo japo maji ya kunywa tuu kwenye vikao vya chini vya uteuzi ngazi ya kata na tarafa. Hivyo mimi najiandaa for both, CCM safi ya Nyerere chini ya Magufuli na Bashiru, na CCM Mafisadi ya "mkono mtupu haulambwi" hivyo najiandaa kwa hali na mali. Mtaji wa ubunge nimeamua kuuza kila kitu changu, kuanzia nyumba, na kila kitu kilichomo, magari, na container lililosheni mali za thamani kubwa. Kwa kuanzia nahitaji just 15M za hizo items. Nikipitishwa ndipo nausoma upepo, kama mwelekeo ni CCM mafisadi, then naiuza hiyo nyumba Thamani yake TZS 900m ila mimi nitauza kwa TZS 500m only. Hii ndio fedha ya kampeni, Msimamizi wa Uchanguzi nimemtengea, 100M kuwapiga pingamizi wagombea wengine wote ili nipite bila kupigwa. 100M ya michango mbalimbali, 100M nakichangia Chama, 100M ya logistics na 100M ya akiba. Politics is science, political science na politics is business, you invest in politics na zinarudi na ku multiply three folds, hii ya zinarudije ni masuala ya ndani, not for public consumption.
  6. Kwa vile aliyenisababishia njaa hii ni Rais Magufuli kuniita njaa, kauli yake imeumba njaa, hivyo sasa najiunga CCM na kugombea ubunge jimbo fulani lililokuwa linashikiliwa na upinzani, kwasababu madhila haya amenisababishia rais Magufuli ambaye sio tuu ni home boy wangu, bali pia ndiye Mwenyekiti wa CCM, japo kwenye kura za maoni CCM, mimi sitaongoza, lakini siamini kama ataweza kunipita hivi hivi homeboy wake aliyemuita Njaa na kumsababishia njaa, hivyo itambidi tuu anibebe na nitateuliwa kwa kubebwa ili kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa 2020. Ila ikitokea kuna mgombea more able kuliko mimi, akipitishwa nitakubali kushindwa na mimi ndio nitakuwa campaign manager wake tunalirejesha jimbo letu muhimu CCM.
  7. Kufuatia Kukubalika sana kwa CCM nchi nzima kulikosababishwa na kasi ya Awamu ya 5, ukiishateuliwa kupeperusha bendera ya CCM, wewe unakuwa tayari ndio Mbunge mtarajiwa unaesubiri tuu kuapishwa tuu na ili kuokoa gharama za kufanya kampeni, kama kawaida ya CCM, uchaguzi Mkuu tutautumia wembe ule ule wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Hivyo nitamsaidia sana rais Magufuli katika eneo la sekta ya habari ambayo kiukweli... naomba hapa nisiseme, niishie hapa.
  8. Kufuatia CCM kuwa ni watu wasiopendwa sana humu jf, nimenote wana CCM ambao ni wana jf, akiwemo Paul Makonda, Nape Mnauye, Juliana Shonza, Kigwangala, Prof. Tibaijuka, Mwigulu na wengine, wakiisha ula tuu, huwa hawachangii tena mijadala humu jf, hivyo na mimi nikiishajiunga tuu na kupokekewa pale CCM Lumumba na Polepole from then nitakuwa sichangii tena mijadala yoyote humu jf kama makada wengine watangulizi wangu. Nitakuwa Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat, ili nikiwa ndani ya CCM ndipo nitajua ni nini huwa kinatokea kwa watu kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakiishafanikiwa na kufika juu, jf wai bull shit kama dekio.
  9. Hivyo kwa bandiko hili, kwanza nawashukuru sana wana jf kwa Ushirikiano wenu katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 10 tuliokuwa wote humu jf, nikifanikiwa kujiunga CCM, nawaaga rasmi kwaherini ya kuonana, japo nitakuwa sichangii actively humu jf nitaendelea kuitembelea na likes nitakuwa naendelea kuzimwaga ila kiukweli nitawa miss sana na kufuatia uraibu wangu na jf, pia mimi mwenyewe nitateseka sana, lakini ikotokea kuwemo CCM haukatazwi kuchangia jf, then niombeeni na mnisupport kujiunga CCM ili tuwe na wana jf waandamizi ambao ni makada safi wa chama cha Mapinduzi hivyo kuipeleka JF Bungeni.
  10. Uamuzi huu wa kujiunga CCM, niliufikiria siku nyingi na pia niliwashirikisha wana jf kabla ya kuufikia na hapa walinipa mawazo yao Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!. - JamiiForums
Nimalizie kwa kuwaomba ushirikiano wenu, wana jf wenzangu wote, naombani support yenu kwa kuniunga mkono mwana jf mwenze katika safari yangu hii mpya ya kujiunga CCM, kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi kumuunga mkono rais Magufuli na kugombea ubunge kwa lengo sio tuu la kuwatumikia wananchi wa Tanzania kama Mbunge wao, bali pia kuonyesha uzalendo wangu kwa kumsaidia rais Magufuli na seikali yake na kuisadia nchi yangu na taifa langu Tanzania.
Mungu Nisaidie.
Paskali
06:00 am

Update: 10:00 am
Saa 4:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na humu jf bado nipo nipo, sijaacha, naendelea kumfuatilia Polepole ili kujiunga CCM, siku nikifanikiwa kujiunga CCM, nitawajulisha kupitia uzi huu, na baada ya kujiunga rasmi CCM, ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.

Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali
Mkuu uzi umeibuliwa😀

Kustaafu JF ilikuwa kweli au mkwara mbuzi
 
Back
Top Bottom