Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

Wanabodi,

Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari, utangazaji na pia nimestaafu rasmi jf.

Kustaafu uandishi wa habari na utangazaji ni kufuatia kuhudumu kwa muda mrefu wa kutosha katika tasnia ya habari, kuhudumu fani moja kwa miaka 30 sii haba.

Kufuatia media ethics za misingi mikuu ya fani ya uandishi wa habari, ni truthfulness, Objectivity, Impartiality na Balancing, mwandishi wa habari wa ukweli ili aweze ku practice objectivity na impartiality hapaswi kuwa mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, huwezi kuwa mwanachama wa chama cha siasa halafu ukawa objective au impartial, hivyo mimi siku zote humu jf nilikuwa sina chama, lakini sasa kuanzia leo baada ya kustaafu rasmi, leo hii hii majira ya saa 10:00 asubuhi, nitaelekea pale ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa Polepole kujiunga rasmi CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya uanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM.

Sababu ya kuamua kujiunga na chama cha Mapinduzi ni sababu kuu 10.
  1. CCM ndicho chama kilicholeta uhuru na ukombozi Tanzania kutoka katika makucha ya wakoloni, wakati huo kikitwa TANU. Hivyo CCM ndicho chama pekee mkombozi wa Watanzania, na ni kufuatia sifa hii, CCM kimepewa hatimiliki ya kuitawala Tanzania milele.
  2. Kufuatia kukubalika sana na kuaminika sana na Watanzania, CCM ndicho chama pekee nchini Tanzania chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa uongozi na kuitawala Tanzania, hivyo unajiunga na most experienced party yenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
  3. CCM kimefanya mengi makubwa, mazuri nchini mwetu tangu tumepata uhuru kwa kuongoza vita dhidi ya maadui umasikini, ujinga, maradhi, rushwa, uzembe, ufisadi, ukoloni mambo leo, unyonyaji, ukupe, ukabaila, ubepari, hadi vita hizi za kisiasa za ubeberu, utandawazi na kuongoza mapambano ya kiuchumi kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya viwanda, nchi ya uchumi wa kati kuelekea Tanzania kuwa donor country.
  4. Japo Tanzania ni nchi ya vyama vingi vya siasa, lakini kiukweli kabisa, tunapozungumzia chama haswa cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa, kwa Tanzania, kiukweli kabisa tuna chama kimoja tuu cha siasa ambacho ni CCM ambacho pia ni chama dola, vyama vingine vyote ni kama vyama vijivyama au vikundi tuu vya watu wanaofanya tuu siasa, vingine ni vyama watu, vingine ni saccos na vingine ni vyama vibaraka tuu na vingine ni vya jina tuu au vyama makaratasi tuu, kule ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hivyo in reality Tanzania hatuna any serious opposition party ya kushindana na CCM, hivyo kama kuna mtu yoyote anayeamua sasa kujiunga siasa, chama pekee cha kujiunga nacho ni CCM.
  5. Sababu ya 5 na ya mwisho ni lisemwalo, lipo kama halipo linakuja. Japo mimi ni Msukuma, na jina langu la ubini ni Mayalla, siku zote nimekuwa nikielezwa na Wasukuma wa Ukweli maana ya jina Mayalla kwa Kisukuma ni ukame, drought unaosababisha famine, baa la njaa, lakini siku hizi kuna Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi. Sasa limeingia hili janga la Corona, ndio kabisa, hakuna kazi kabisa, ofisi nimefunga niko home sina hili wala lile ndipo likanijia hili wazo la kujiunga CCM na kugombea ubunge ili sasa nikawatumikie watu. Kufuatia kuweko kwa CCM mbili, CCM ya Nyerere chini ya Magufuli na Dr. Bashiru Ally ambayo sifa ya kuteuliwa kugombea ni uwezo wako wa uongozi na utumishi wa umma, na CCM Mafisadi ambapo sifa ya kuteuliwa ni urefu wa mkono wako, una weza kumwaga fwedha kiasi gani kununua uongozi. Hivyo hata kwa CCM ya Nyerere, uteuzi wa ngazi ya chini lazima us spend kidogo japo maji ya kunywa tuu kwenye vikao vya chini vya uteuzi ngazi ya kata na tarafa. Hivyo mimi najiandaa for both, CCM safi ya Nyerere chini ya Magufuli na Bashiru, na CCM Mafisadi ya "mkono mtupu haulambwi" hivyo najiandaa kwa hali na mali. Mtaji wa ubunge nimeamua kuuza kila kitu changu, kuanzia nyumba, na kila kitu kilichomo, magari, na container lililosheni mali za thamani kubwa. Kwa kuanzia nahitaji just 15M za hizo items. Nikipitishwa ndipo nausoma upepo, kama mwelekeo ni CCM mafisadi, then naiuza hiyo nyumba Thamani yake TZS 900m ila mimi nitauza kwa TZS 500m only. Hii ndio fedha ya kampeni, Msimamizi wa Uchanguzi nimemtengea, 100M kuwapiga pingamizi wagombea wengine wote ili nipite bila kupigwa. 100M ya michango mbalimbali, 100M nakichangia Chama, 100M ya logistics na 100M ya akiba. Politics is science, political science na politics is business, you invest in politics na zinarudi na ku multiply three folds, hii ya zinarudije ni masuala ya ndani, not for public consumption.
  6. Kwa vile aliyenisababishia njaa hii ni Rais Magufuli kuniita njaa, kauli yake imeumba njaa, hivyo sasa najiunga CCM na kugombea ubunge jimbo fulani lililokuwa linashikiliwa na upinzani, kwasababu madhila haya amenisababishia rais Magufuli ambaye sio tuu ni home boy wangu, bali pia ndiye Mwenyekiti wa CCM, japo kwenye kura za maoni CCM, mimi sitaongoza, lakini siamini kama ataweza kunipita hivi hivi homeboy wake aliyemuita Njaa na kumsababishia njaa, hivyo itambidi tuu anibebe na nitateuliwa kwa kubebwa ili kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa 2020. Ila ikitokea kuna mgombea more able kuliko mimi, akipitishwa nitakubali kushindwa na mimi ndio nitakuwa campaign manager wake tunalirejesha jimbo letu muhimu CCM.
  7. Kufuatia Kukubalika sana kwa CCM nchi nzima kulikosababishwa na kasi ya Awamu ya 5, ukiishateuliwa kupeperusha bendera ya CCM, wewe unakuwa tayari ndio Mbunge mtarajiwa unaesubiri tuu kuapishwa tuu na ili kuokoa gharama za kufanya kampeni, kama kawaida ya CCM, uchaguzi Mkuu tutautumia wembe ule ule wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Hivyo nitamsaidia sana rais Magufuli katika eneo la sekta ya habari ambayo kiukweli... naomba hapa nisiseme, niishie hapa.
  8. Kufuatia CCM kuwa ni watu wasiopendwa sana humu jf, nimenote wana CCM ambao ni wana jf, akiwemo Paul Makonda, Nape Mnauye, Juliana Shonza, Kigwangala, Prof. Tibaijuka, Mwigulu na wengine, wakiisha ula tuu, huwa hawachangii tena mijadala humu jf, hivyo na mimi nikiishajiunga tuu na kupokekewa pale CCM Lumumba na Polepole from then nitakuwa sichangii tena mijadala yoyote humu jf kama makada wengine watangulizi wangu. Nitakuwa Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat, ili nikiwa ndani ya CCM ndipo nitajua ni nini huwa kinatokea kwa watu kuitumia jf kama ngazi tuu ya kupandia, lakini wakiishafanikiwa na kufika juu, jf wai bull shit kama dekio.
  9. Hivyo kwa bandiko hili, kwanza nawashukuru sana wana jf kwa Ushirikiano wenu katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 10 tuliokuwa wote humu jf, nikifanikiwa kujiunga CCM, nawaaga rasmi kwaherini ya kuonana, japo nitakuwa sichangii actively humu jf nitaendelea kuitembelea na likes nitakuwa naendelea kuzimwaga ila kiukweli nitawa miss sana na kufuatia uraibu wangu na jf, pia mimi mwenyewe nitateseka sana, lakini ikotokea kuwemo CCM haukatazwi kuchangia jf, then niombeeni na mnisupport kujiunga CCM ili tuwe na wana jf waandamizi ambao ni makada safi wa chama cha Mapinduzi hivyo kuipeleka JF Bungeni.
  10. Uamuzi huu wa kujiunga CCM, niliufikiria siku nyingi na pia niliwashirikisha wana jf kabla ya kuufikia na hapa walinipa mawazo yao Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair!. - JamiiForums
Nimalizie kwa kuwaomba ushirikiano wenu, wana jf wenzangu wote, naombani support yenu kwa kuniunga mkono mwana jf mwenzenu katika safari yangu hii mpya ya kujiunga CCM, kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi kumuunga mkono rais Magufuli na kugombea ubunge kwa lengo sio tuu la kuwatumikia wananchi wa Tanzania kama Mbunge wao, bali pia kuonyesha uzalendo wangu kwa kumsaidia rais Magufuli na seikali yake na kuisadia nchi yangu na taifa langu Tanzania.
Mungu Nisaidie.
Paskali
06:00 am

Update: 10:00 am
Saa 4:00 ndio hii, bado sijafanikiwa kumpata Polepole ili kujiunga CCM, hivyo mpaka sasa bado sijastaafu, na humu jf bado nipo nipo, sijaacha, naendelea kumfuatilia Polepole ili kujiunga CCM, siku nikifanikiwa kujiunga CCM, nitawajulisha kupitia uzi huu, na baada ya kujiunga rasmi CCM, ndipo nitastaafu na nitaaga rasmi kwa ku update uzi huu.

Kwa wale mlionitakia maisha mema ndani ya CCM, asanteni.
Wana CCM mlionikaribisha CCM, asanteni nitakaribia muda utakapowadia.
Kwa wale mliodhania hii ni sikukuu ya leo, poleni, this is for real.
Nawatakia siku njema.
Paskali

Acha undumilakuwili
 
Ike, Ikemefune , nisikilize kwa makini
halafu uniambie undumilakuwili wangu ni upi?.
P
Boldly nakuunga mkono.

Nasoma hoja unazoziweka hapa zina uzito na udhati wa mambo ambayo sisi wengine tunakosa kuyanuizia kwenye hoja zetu.

Tatizo la Tanzania ni uwepo wa watu wanaoamini katika business as usual, hawaamini katika usahihi wa mambo bali wanaishi kwenye exceptionals maisha yao yote.

Je bado umeweka mguu siasani au tusubiri ile ahadi ya 2030?
 
Sawa tupo tutaona. Kila lenye kheri likawe mbele yako.
 
  5. Sababu ya 5 ni lisemwalo, lipo kama halipo linakuja. Japo mimi ni Msukuma, na jina langu la ubini ni Mayalla, siku zote nimekuwa nikielezwa na Wasukuma wa Ukweli maana ya jina Mayalla kwa Kisukuma ni ukame, drought unaosababisha famine, baa la njaa, lakini siku hizi kuna Wasukuma wa aina nyingi nyingi wengine ni wakuja tuu hivyo hata maana ya jina la Mayalla hawalinui, kwao linabadilika badilika kutegemeana na Msukuma wa wapi. Toka siku ile nilipouliza lile swali Ikulu nikajibiwa kuwa Mayalla kwa Kisukuma ni Njaa, kiukweli kauli nyingine huumba, tangu nilipoitwa Njaa, kauli ile ikaniumbia njaa ya ukweli, hadi jina langu humu na mitaani ninaitwa Pasco Manjaa!. Baada tuu ya swali lile, contracts zangu zote za kampuni yangu ya PPR za serikalini zilisitishwa hivyo njaa ikaanza kunitembelea, tenda za maonyesho ya Saba Saba zikafutwa, tenda za kuandaa kipindi vya elimu kwa umma zikafutwa, ile ofisi yangu jengo la NHC pale Mtaa Mkepu niliokuwa nalipia pango sawa mshahara wa DC nikafunga, nilikuwa na wafanyakazi 20, nikawapunguza 15, tukabaki 5 na kuhamia kwenye kaji chumba jengo la Posta House. Kwa kwa vile mimi ni mwandishi wa habari, baada ya kufungiwa huko kote nikaamua kurejea newsroom kuandika makala za magazeti nako ndio vile tena nikaitwa Dodoma kuhojiwa na Kamati ya Bunge. Kila ninachogusa hakiendi. Sasa limeingia hili janga la Corona, ndio kabisa, hakuna kazi kabisa, ofisi nimefunga niko home sina hili wala lile ndipo likanijia hili wazo la kujiunga CCM na kugombea ubunge ili sasa nikawatumikie wananchi. Kufuatia kuweko kwa CCM mbili, CCM ya Nyerere chini ya Magufuli na Dr. Bashiru Ally ambayo sifa ya kuteuliwa kugombea ni uwezo wako wa uongozi na utumishi wa umma, na CCM Mafisadi ambapo sifa ya kuteuliwa ni urefu wa mkono wako, una weza kumwaga fwedha kiasi gani kununua uongozi. Hivyo hata kwa CCM ya Nyerere, uteuzi wa ngazi ya chini lazima us spend kidogo japo maji ya kunywa tuu kwenye vikao vya chini vya uteuzi ngazi ya kata na tarafa. Hivyo mimi najiandaa for both, CCM safi ya Nyerere chini ya Magufuli na Bashiru, na CCM Mafisadi ya "mkono mtupu haulambwi" hivyo najiandaa kwa hali na mali. Mtaji wa ubunge nimeamua kuuza kila kitu changu, kuanzia nyumba, na kila kitu kilichomo, magari, na container lililosheni mali za thamani kubwa. Kwa kuanzia nahitaji just 15M za hizo items. Nikipitishwa ndipo nausoma upepo, kama mwelekeo ni CCM mafisadi, then naiuza hiyo nyumba Thamani yake TZS 900m ila mimi nitauza kwa TZS 500m only. Hii ndio fedha ya kampeni, Msimamizi wa Uchanguzi nimemtengea, 100M kuwapiga pingamizi wagombea wengine wote ili nipite bila kupigwa. 100M ya michango mbalimbali, 100M nakichangia Chama, 100M ya logistics na 100M ya akiba. Politics is science, political science na politics is business, you invest in politics na zinarudi na ku multiply three folds, hii ya zinarudije ni masuala ya ndani, not for public consumption.

Kila la kheri, tupumzike kero zako humu! Ulikuwa unatukata stimu sana!!
 
Ww mzee kumbe ulistaafu? Mbona Mimi naziona makala zako kwenye magazeti au nitofauti na kustaafu?
Kustaafu ni pale unapokuwa umestaafu kuajiriwa, hivyo mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, silipwi na yeyote, naandika kwa mapenzi tuu.
P
 
Boldly nakuunga mkono.
Asante
Nasoma hoja unazoziweka hapa zina uzito na udhati wa mambo ambayo sisi wengine tunakosa kuyanuizia kwenye hoja zetu.
Asante
Tatizo la Tanzania ni uwepo wa watu wanaoamini katika business as usual, hawaamini katika usahihi wa mambo bali wanaishi kwenye exceptionals maisha yao yote.
Ndio maana tunaingia ili kusaidia.

Je bado umeweka mguu siasani au tusubiri ile ahadi ya 2030?
Namaliza harakati 2025, 2030 nitakuwa over 60 hivyo it will be a bit too little too late.

Sasa Paskali, pengine umejifunza kuwa siasa is a game of chance.
Jaribu tena 2025, lakini jitayarishe na kitita cha kutosha.
Wapiga kura, hata wanaokujua fika, huwa wanakujia na njaa za kujitengenezea, ili uwashibishe, hata kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom