Nimeamua kurudi tena kwenye nyeto(CHAPUTA)

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Baada ya kuacha nyeto kwa miezi kadhaa hii ilitokana na kuwa mpango wa kando ulionihakikishia kula papuchi muda wowote ninaohitaji

Ila kwa Sasa sipo nae baada ya fitna za majirani na kupeleka umbea kwa mke wangu kwamba namchakata binti jirani yangu

Wife anakaa mbali nami kwa kipindi kirefu,kaja kunifanyia fujo na kumfanyia fujo yule binti

Imebidi binti ahame mji na kwenda mbali,hapa nimekua mpweke,sina koloni,kununua pisi za mtaani sijazoea ,nguvu ya nyeto imenivuta nimeamua nirudi tu tena chamani

Hapa nipo kufanya upembuzi yakinifu niweze kupata papuchi nyingine ya uhakika niachane tena na CHAPUTA

Alamsiki
 
Kuna watu wanajiua kisa mapenzi, watu wanalogana kisa mapenzi, wanagombana kisa mapenzi n.k

Mkuu, kwani uliwah kusikia hayo yametokea kwa anaye piga punyeto.?

Mm napiga na sitoacha kupiga punyeto mana siko tayar kuweka moyo na mwili wangu hatarini ety kisa kimdudu mapenzi.

Piga punyeto mkuu.
 
Aisee!! haya huwa mnaya tekeleza kweli? au ni kuchangamsha jamvi tu hapa.
 
Kupiga au kutokupiga punyeto hy ni hiari ya mtu, binafsi mm napiga punyeto mwaka wa 11 sasa
Mkuu natamani kuacha ila nimeshindwa kabisa. Hivi hamna namna naweza fanya nikaondokana na hii kadhia kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom