Nimeamua kurudi Chadema

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
NDUgu zanguni,

Leo hii imenibidi nifanye maamuzi magumu ya kurudi Chadema .

nimeamua kurudi Chadema kutoa elimu ya kujitambua ili vijana wajitambue na kukataa kutumiika Kama misukule .

Ni mategemeo yangu makamanda wengine wataungana nami Kwenye shughuli hii ya kuwatoa pepo anaewavuruga machadema

Vijana semeni NO! Kwa Hawa matapeli , Chadema ni Mali ya Mtei na warithi wake tu.

JITAMBUE!
 
Duuuh, imekuwaje tena? Mhh haya ni maamuzi magumu sana. Chadema mpokeeni kondoo huyu.
 
NDUgu zanguni,

Leo hii imenibidi nifanye maamuzi magumu ya kurudi Chadema .

nimeamua kurudi Chadema kutoa elimu ya kujitambua ili vijana wajitambue na kukataa kutumiika Kama misukule .

Ni mategemeo yangu makamanda wengine wataungana nami Kwenye shughuli hii ya kuwatoa pepo anaewavuruga machadema

Vijana semeni NO! Kwa Hawa matapeli

JITAMBUE!

Chadema haipokei mashoga
 
hahahahaha mzee wa komedi, ww chadema ni zaidi ya sisimizi. akifa wanazaliwa wengine wasio na idadi, beba box huko ujenge maisha yako ya baadae....penshen ya uzeeni hauna mkuu, komaa
 
NDUgu zanguni,

Leo hii imenibidi nifanye maamuzi magumu ya kurudi Chadema .

nimeamua kurudi Chadema kutoa elimu ya kujitambua ili vijana wajitambue na kukataa kutumiika Kama misukule .

Ni mategemeo yangu makamanda wengine wataungana nami Kwenye shughuli hii ya kuwatoa pepo anaewavuruga machadema

Vijana semeni NO! Kwa Hawa matapeli

JITAMBUE![/QUO

Njaa mbaya!!
 
Hahahaaaaaa dunia haiiishi maajabu, si vyema kuwa na tabia za undumilakuwili namna hii

MANI na zumbemkuu njooni Kuna maajabu Hulu eti nzi WA chooni anataka kujichanganya na nyuki
 
Last edited by a moderator:
He he he he he he he he! Mkuu Chris Lukosi mbona unataka kunipasua mbavu usiku huu?! Ahya bwana karibu CDM basi kubwa na nilijua tu lazima utarudi pimbi ww, sasa acha upunguani na umbulumbundu wako, maana hiki chama tunataka makamanda tu na sio wachumia tumbo.

Karibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwezi umeandama lini? Nadhani ni kipindi cha mwezi mchanga, ule ugonjwa alokuambia Dr umeanza. Wahi hospital upate matibabu.
 
ngoja mabwana zako wajinga wadhani ni ukweli,wallah utapigwa marufuku kuingiza kalio lako kwenye ofisi ya serengeti freight, unafki mwingine ni hatari kwa ugali wako, ukizingatia kibarua chenyewe ulipewa na ccm kwa sharti la kutanua----vi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom