Nimeamua kumtongoza mdogo wake ili kulipisha muda alionipotezea

Pole Sana Izo.
Inauma sana mkuu, 2 months with more than 80k, no kipochi manyoya, bado naombwa pedi, +tetesi za anatoka na fulani, na nimeshawahi kumkuta na wanaume anazungumza nao kwa kucheka, miongoni mwao asiwepo wa kumchakata kweli? Halafu anatangaza kwa watu, yulr ni bae wangu, kunizibia riziki tu
 
Mahusiano yetu yamemaliza miezi miwili, Parasitism ndiyo iliyotawala mahusiano yetu. Amefaidi pesa zangu lakini kuhusu kulala naye amekuwa mgumu. Nimemvumilia vya kutosha. Nimebembeleza kama mtu ambaye ndiyo kwanza anamtongoza binti aliyemkatalia. Nimechoka.

Wiki iliyopita kanifuata kuniomba 5k ya pedi, naanzaje kuitoa wakati kinachokwenda kusitiriwa sipewi nikakifaidi? Ni mara ya pili sasa namfuma mahali na wanaume japo ni mazingira ya wazi.

Nimeamua kumtongoza mdogo wake, leo ni siku ya pili tunadeti. Acheni tu amsaidie majukumu.

Ni hayo tu ndugu zangu.
Make sure unapiga pumbu huyo mdogo ake kama ilivyo desturi yetu kisha ulete mrejesho maridhawa gapaa
 
Inauma sana mkuu, 2 months with more than 80k, no kipochi manyoya, bado naombwa pedi, +tetesi za anatoka na fulani, na nimeshawahi kumkuta na wanaume anazungumza nao kwa kucheka, miongoni mwao asiwepo wa kumchakata kweli? Halafu anatangaza kwa watu, yulr ni bae wangu, kunizibia riziki tu
Fungua Moyo mkuu. Ishatokea, angalia Maisha mengine.
 
Ila hii kitu maumivu yake tunayaelewa wanaume,kuliwa hela zako nyingi pamoja na kuseti mazingira yote ya kupewa mzigo alafu unyimwe yanauma sana ,imenikuta hiyo kwa demu niliyemuelewa sana,alichukulia kindness yangu pamoja na kumpenda kama udhaifu, nilivumilia sana alafu hakuna nilichopewa,hapa kitu kinachotuumiza ni yale matarajio kwamba hapa nitakula alafu unaona dalili zote kuwa wanapewa wengine ila wewe unawekewa ngumu.Kuna muda nilitamani nimfanyie maamuzi (magumu) ili huyo demu awe wangu bila kusumbua, sema nikajua nitamuumiza bure tu pamoja na kunipotezea muda.Kikubwa niliamua kumuacha aende maana mwanamke akikukubali hawezi kukuwekea condition zozote ukimuhitaji kila kitu kitaenda ktk njia zake.Kiukweli vya kwangu amekula pamoja na kumsaidia shida zake lakini hata Ile kusema ngoja nimpe huyu mwamba angalau apooze sababu zilikua haziishi.Baadaye nilikuja kugundua kuwa alishazalishwa huko niliamua kumpotezea mazima,huu mwezi wa tisa sasa tangu niache kuwasiliana naye niliona acha aende anapoona panafaa.Muda mwingine huwezi kujua nini unaepushwa nacho.
 
True boy .. Hisia ndizo zinatakiwa ziongee .. mengine ni kujichosha tu .
 
Pitia k vant 3 kwa Mangi nitakuja kulipa
 
Back
Top Bottom