chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,685
- 22,694
Nakushauri kama mtaji wako bado ni mdogo anza kwa kununua mazao toka kwa wakulima ongeza mtaji.Wakuu mambo vipi?
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha mahindi na maharage ya njano, kwa mkoa wa Njombe, hasa kuhusu upande wa soko la nafaka hizi. Nahitaji hasa kujua upatikanaji wa soko, baada ya kuvuna .
Kwa sababu nina plan ya kwenda kuanza kilimo mwishoni mwa mwaka huu, kwa mkoa wa njombe.