Nimeamua kula milo miwili kwa siku, wataalamu wa lishe karibuni kwa ushauri

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,876
4,872
Kama heading inavyojieleza, takribani wiki sasa ninapata break fast na lunch pekee wakati jioni naweza kula matunda na grass moja ya juice au maziwa mtindi. Diet hii haihusiani na kupunguza mwili maana sina mwili wa kupunguza

Naomba kujua kama panaweza kuwa na madhara yoyote kwa ratiba hii
 
Safi, mi nliondoa ya jion tu, ila asubuhi napga chai kama kawa, mchana natupia ugali, usiku sahani ya matunda mchanganyiko,, nlianza mwaka jana mwishoni, hadi leo navokuambia malaria siijui, ila Mungu naye Yupo
 
Ahsante sana mkuu, na mimi naanza kuzoea siki tatu za mwanzo nilihangaika kidogo njaa ilikua inanisumbua lkn naona sasa naanza kuzoea
 
Mwili una Tabia ya kuadapt situation.. Kwa hiyo ukila mlo mmoja kwa siku mwili utajiadjust kulingana na mazingira.

Kuna waethiopia kule wanakula mmlo mmoja wa majani tu ya mlungi lakini wapo hadi leo.
 
Ahsante mkuu japo issue sio kula ili kubana bajet au kwa sababu havipo, hapa naangalia faida kiafya kama ipo
 
Back
Top Bottom