Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,326
- 10,943
Maisha ni wewe mwenyewe unavyo taka yawe. Ukitaka kuishi ktk shida utaishi hivyo, Pia Ukitaka uziepuke shida zisizo na msingi pia inawezekana chaguo ni lako. Kwamuda mrefu nimevumilia mateso ya mapenzi lakini sasa nasema basi. Basi jamani sitaki shida, wacha niangalie aina nyingine ya Maisha. Kama tatizo watoto tayari ninao, ugeni ktk mapenzi sina, niliowahi kutembea nao wengine hivi sasa ni marehemu. Labda tatizo umri? Hapana umri nilio nao sio wakubuluzwa kisa mapenzi . Sasa nangoja nini ktk mapenzi ? Ukimwi? Au mpaka nilishwe nyama ya mbeleni? Hapana nasema hapana . Bora nichague aina nyingine ya Maisha. Bora niachane na mapenzi niamie CHAPUTA. Kwanza nimegundua CHAPUTA hakuna streas niwewe tu na roho yako ukitaka kufanya kwasiku mara tano hakuna atakae kuuliza, Ukitaka kufanya popote saa yoyote ni wewe tu . CHAPUTA hauombwi ela ya kipodozi wala mtoko. CHAPUTA hakuna sijui nimemfumania nafulani anhaaa!!!