Nimeamua kujitangaza ya kuwa mimi ni Freemason

Jamani mnamshambuliia,hii siyo jumuiya mbaya tuna mission nzuri yani to create a better place for human being to stay,we are ant-religion,ant-politics e.tc,then unaruhusiwa kujitoa at any time,nipm 4 more info,2B1ASK1 popote uonapo hiyo stika uliza zaid
 
freemason wote chakula cha wajanja usikubali na wewe kuliwa!sawa?
sina mda tu wa kukuelewesha,lakini usiamini kila unachosikia hakuna u freemason ndani ya ulimwengu huu.
 
Jamanii aisee bongo kazi kweli kweli yaani freemason ni kama chama cha kawaida tuu , tuko kibao tunatoka kanisani na kwenda huko its just another networking associatio but mostly for business , watu waimani tofauti , sijui kama mtu akiwa yanga mnajali kama anaabudu shetani au mpagani, mimi hapa mtaani niko kwenye hiyo chapter na wako wakristo, waislamu , wahindu ni ujinga wa hali ya juu kuwaza hivyo, sema kilianza zamani ni kina watu wengi wenye uwezo na wanamiiko yao isiyohusu dini ni kama yanga usivae nyekundu , damn people just people need to grow up , msianzishe story nyingine kama ya babu wa loliondo
 
Back
Top Bottom