Nimeamua kujishusha na kufungua biashara ya mkaa

Zote hizo ni Janja ambazo mw
Ukiwa na gunia zako zisizozidi 5 wala maliasili hawahangaiki na wewe,siku hizi watu wanachofanya wanaweka mkaa mwingi kwenye stoo (chimbo) wewe unakuwa na gunia zako chache za kuuza ukiisha unasogeza,hapo unakuwa umejiepusha na kuombwa rushwa na kutoa laki 2 na 61 ya vibali vya maliasili.KUWEKA GUNIA 100 KIJIWENI HIYO ILISHAPITWA NA WAKATI SIKU H

Ukiwa na gunia zako zisizozidi 5 wala maliasili hawahangaiki na wewe,siku hizi watu wanachofanya wanaweka mkaa mwingi kwenye stoo (chimbo) wewe unakuwa na gunia zako chache za kuuza ukiisha unasogeza,hapo unakuwa umejiepusha na kuombwa rushwa na kutoa laki 2 na 61 ya vibali vya maliasili.KUWEKA GUNIA 100 KIJIWENI HIYO ILISHAPITWA NA WAKATI SIKU HIZI
Endeleeni kumdanganya mwenzenu, Mimi nilidhani utabisha kwamba hahitaji kubali kumbe ni kuficha, itaweza ficha mkaa kweli ili Hali utaleta na gari na kushusha, stoo umekodi narudia tena litakuwa suala la muda Tu na atalia
 
Zote hizo ni Janja ambazo mw

Endeleeni kumdanganya mwenzenu, Mimi nilidhani utabisha kwamba hahitaji kubali kumbe ni kuficha, itaweza ficha mkaa kweli ili Hali utaleta na gari na kushusha, stoo umekodi narudia tena litakuwa suala la muda Tu na atalia
Usiogope mkuu watu wanafanya hivyo miaka nenda rudi na hakuna baya lolote,hii nchi ukijifanya we ni mzalendo kila tozo na ushuru unatoa utakufa masikini,we hujiulizi mbunge wako anaenda kusinzia bungeni na mwisho wa siku hela yake yote anapewa hakatwi hata senti!!!? JIONGEZE
 
Naomba unitajie biashara class na za kisomi zilizokufelisha chief
 
Ni biashara nzuri.ILA imejaa sana Rushwa.wakati mwingine ukienda kihalali ndiyo unazidi kuwekewa mazingira magumu zaidi

Iko hiv.katika kila wilaya kuna ofisi za misitu za Wilaya na TFS,nenda ukapate maelekezo na ujue aina ya vibari pamoja na leseni yake pamoja ushuru wa wake.

Kumbuka sheria zake ni kali sana ukikiuka na ukaingia kwenye 18 zao unaweza ukapoteza mtaji pamoja na kufungwa.

Wale jamaa kule kwenye yale mageti yao unaona wamekaa wanafanana na mkaa pamoja na viofis vyao vichafuchafu hivi ila wako very powerful na wengine na mamilionea kwa fedha za rushwa
Vibari garama zake ni almost hasara tupu,I did it.
Kuna msemo unasema ukitaka kura nyama porini kura na simba.ili uweze kufanya biashara kwa urahisi Fanya ufanyavyoweza pata urafiki na wakubwa wa misitu au wa wilaya husika.

Harafu sizome sheria zote zinazohusu hio biashara uwe deep na mwisho usikubali kiurahisi kuporwa mkaaa never ever
 
Hata mimi nauza, vyeti nimeweka kabatini
IMG_20200529_134055_1.jpg
 
Inasemekana kuwa hakuna aliyewahi kufanikiwa katika biashara ya mkaa, hii imekaaje?

Aliyewahi kufanikiwa aje atoe ushuhuda ili na sisi tuingie kwenye biashara.
 
Poleni Na Mapambano Ndugu Wana JF
Husika na Kichwa Cha Habari

Katika Pita Pita Zangu Za Hapa na Pale Wakuu Nimeona Nifanye Biashara Ya Mkaa...(ni wazo ila niko finishing stages ni execute idea)

Yani ninunue kwa wanaoleta Mkaa Mjini Kwa Jumla...Magunia Kadhaa Niyachane Na Kuuza Reja na Jumla Maeneo ya Makazi Ya Watu....

Sababu zangu ni hizi:

1. Mkaa hauozi utachelewa kutoka ila utaisha
2. Unahesabika Yani Hesabu Zake Za Biashara Kdgo Ni Rahisi Sio Pasua Kichwa
3. Kwa Mtazamo Wangu Bado Soko Lipo Japo Changamoto za Majiko Ya Gas.
4. Eneo La Biashara Ni Kijitonyama / Karibu Na Sinza

Nimewekeza sehem nyingi sana biashara ambazo ni classy and so called za kisomi ila hamna maajabu yeyote zaidi ya hasara na mtaji kukata....unatoa mfuko wa kushoto ili kujazilizia mfuko wa kulia ilhali mfuko wa kulia una tundu umetoboka. So ndio hivyo wandugu.

Nakaribisha Ushauri / Maoni / Kukosolewa / Kuboreshwa Wazo na Mtazamo wa Hyo Biashara Husika.

Ahsanteni na Mbarikiwe 🤝
Upo mkoa gani?
 
Kuuza mkaa siyo kujishusha. Mbona ni biashara nzuri tu? Mkaa uzuri wake unatumiwa na wote regardless ana jiko la gesi au umeme atahitaji mkaa tu. Isitoshe ni bidhaa isiyooza na hata ukilowa maji utaanikwa na bado utaingia sokoni. Hongera sana.
 
Mitazamo hii iliundwa na jamii, ikawanyima watu wengi kupiga pesa na kubaki wakigalagala na shida zao mtaani,
 
Sihitaji vibali cz nanunua kwa wanaoleta mjini....mimi ni kuuza jumla na reja kwenye goli nilio plan kuuzia. Vibali hao wanaoleta ndio watakata. (If I’m Being Right Tho)
Mkuu futa huo mstari wa kwanza wa hii comment yako,utapotosha wengine.

Gharama za usajili zinamhusu mvunaji wa kwanza,mbebaji/msafiri na mpaka wewe muuzaji wa mwisho.

Kama unataka kufanya biashara yako kwa amani na tusisumbuane,naomba uende ofisi ya TFS ukajisajili.
 
Vip
Poleni na mapambano ndugu wana JF

Husika na kichwa cha habari

Katika pita pita zangu za hapa na pale wakuu nimeona nifanye biashara ya mkaa (ni wazo ila niko finishing stages ni execute idea)

Yani ninunue kwa wanaoleta mkaa mjini kwa jumla. Magunia kadhaa niyachane na kuuza reja na jumla maeneo ya makazi ya watu.

Sababu zangu ni hizi:

1. Mkaa hauozi utachelewa kutoka ila utaisha

2. Unahesabika yani hesabu zake za biashara kdgo ni rahisi sio pasua kichwa

3. Kwa mtazamo wangu bado soko lipo japo changamoto za majiko ya gas.

4. Eneo la biashara ni kijitonyama / karibu na sinza

Nimewekeza sehem nyingi sana biashara ambazo ni classy and so called za kisomi ila hamna maajabu yeyote zaidi ya hasara na mtaji kukata. Unatoa mfuko wa kushoto ili kujazilizia mfuko wa kulia ilhali mfuko wa kulia una tundu umetoboka. So ndio hivyo wandugu.

Nakaribisha ushauri / maoni / kukosolewa / kuboreshwa wazo na mtazamo wa hyo biashara husika.

Ahsanteni na mbarikiwe 🤝
Vipi mkuu ulishaanza biashara?
 
Usiogope mkuu watu wanafanya hivyo miaka nenda rudi na hakuna baya lolote,hii nchi ukijifanya we ni mzalendo kila tozo na ushuru unatoa utakufa masikini,we hujiulizi mbunge wako anaenda kusinzia bungeni na mwisho wa siku hela yake yote anapewa hakatwi hata senti!!!? JIONGEZE
Kuna watu wanachekesha sana humu JF.
 
Back
Top Bottom