Nimeamua kujipenda mwenyewe!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself !
 
ulitakiwa uanze kujipenda mwenyewe kabla ya kumpenda mwingine....

how can you make someone happy.if you are not happy ?????
 
Kabla hujaamua kumpenda mwingine na kumkaribisha katika maisha yako ni lazima kwanza ujipende mwenyewe. Kila la heri.
 
Happines does not come from something you do not believe in. You must work on it intensively to achieve even a litle. Love is an emotional thing just like hate. If you do not believe that you can love and be loved then whatever you've decided will never bring any meaningful result. I mean foolish result will occur instead .
 
Mbona sisi wenzio tumeshaonja raha ya kujipenda wenyewe wala hatuhitaji kupendwa na yoyote kwani tunajitosha,karibu ufurahie maisha!
 
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i will find that happiness by entertain myself !

"If you can not stand the heat stay out of the kitchen"..............................Hillary Clinton to Barack Obama........in 2008 Democratic party nominations process.......at Pennsylvania......
 
Poleeeee.........! Ndo mapito menyewe hayo, maadam umeshatambua kuwa furaha yako i mikononi mwako basi bila shaka utaruhusu yale yakupayo amani na moyo wako utakuwa na furaha! Haina haja ya kujipa mastress, kuhuzunika au hata kuwa-hate wale waliokutenda for utakuwa unaidhurumu nafsi yako bure! Dunia hii usitegemee kila uliyeridhika nae basi lazima nae atakuridhisha, ikitokea unashukuru Mungu na ukikosa pia usihuzunike. Just love urself and always be happy!
 
ulitakiwa uanze kujipenda mwenyewe kabla ya kumpenda mwingine....

how can you make someone happy.if you are not happy ?????
True lazima ujue kujipa raha hapo unaweza kuwapa na wengine,
alijisahau alipompata mpenzi akasahau kabisa kwamba na yeye anahitaji kuishi
 
Poleeeee.........! Ndo mapito menyewe hayo, maadam umeshatambua kuwa furaha yako i mikononi mwako basi bila shaka utaruhusu yale yakupayo amani na moyo wako utakuwa na furaha! Haina haja ya kujipa mastress, kuhuzunika au hata kuwa-hate wale waliokutenda for utakuwa unaidhurumu nafsi yako bure! Dunia hii usitegemee kila uliyeridhika nae basi lazima nae atakuridhisha, ikitokea unashukuru Mungu na ukikosa pia usihuzunike. Just love urself and always be happy!
Umeongea vizuri sana kipipi
 
waooh! Atleast now you know....firm relationship failure - after several attempt. Lazima ujipende mwenyewe ndo uweze kumpenda mwenzako banaa
 
Back
Top Bottom