Nimeamua kujiajiri, wajenzi na mnaosimamia ujenzi niungeni mkono

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,915
Baada ya kumaliza chuo na kutafta kazi kwa miaka mitatu pasipo mafanikio niliamua nikajifunze ufundi alluminium.
Nimeifanya hii kazi kwa mwaka mmoja na miezi nane sasa, hivyo nimeungana na mwenzangu tukafungua ofisi yetu ya kutengeneza vitu vya aluminium kama milango, makabati na madirisha.
Bei zetu ni nafuu na uaminifu sana.
Ndugu zangu tupeni kazi za maririsha, milango na makabati tunafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu.
Pia mtu akituletea tenda tutampa commision.
Namba yetu ni 0653474484
Asanteni
View attachment 429880
1478462467097.jpg

1478462446784.jpg
 
Vizuri..vp kwa anae taka kujifunza na yye?!
Sijaanza kupata kazi nyingi nikianza pata kazi nyingi naweza anza kufundisha kwa vigezo vofuatavyo.
1. Chakula na na nauli mwanafunzi atajitegemea
2. In case tukifanya kazi nitakupa ela kidogo ila pale utakapo kuwa ushaanza kujua vitu vidogo vidogo
3. kuna muda itabidi ujinunulie vifaa vya kufanyia majaribio hasa ya kukatam
Mwisho kabisa sitotoza ela na iwapo nikitoza ela itakuwa kidogo sana.
 
Back
Top Bottom