Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

Vilaza mnamjibu kilaza mwenzenu, nimecheka sana kusoma comments za vilaza wanaomjibu kilaza mwenzao.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

hata makanisani nyie ndio wale watumishi wanapotosha waumini zao,hama na kanisa kabisa ,maana nalo halifai
 
Akili za wenzako changanya na kwako,udini chadema uko wapi?uchagga wa cdm uko wapi? Au kwa sababu mwenyekiti ni mchaga? Kama hivyo basi ccm ni chama cha wakwere.Tumia akili angalia safu ya uongozi juu wa chama uone wakristo ni wangapi na waislam ni wangapi then useme.kama cdm ni chama cha kikristo hawa watu wamefikaje chadema.Zito kabwe,prof safari,said arfi,makamu mwenyekiti zanzibar,...kwa kuwa wewe ni mtumishi wa Mungu naomba akupe upeo.
 
Nakua upo Dodoma naomba unitafute nikupe ushahidi wa cd uone jinsi ccm walivyotumia uislam wetu kuwapigia kampeni.
 
kijana sisi ni watu wazima!! hata mtoto wa miaka 2 anaona hii kitu, watukana dini za wenzao hao hao unawakuta wameanzisha thread za kumsifia Dr Slaa
Wewe mwenyewe ni mdini kutokana na maelezo yako. Unaona ya wenzio ya kwako huyaoni. Hama bana kwani ulipojiunga uliutangazia umma? Kila la kheri yote maisha tu. Sote tuipendao Tz.tutaikomboa. Ukabila unao pia acha kuwanyoshea wengine vidole. Jisafishe wewe kwanza
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Okey poa.
 
Wewe kweli unatumia Masaburi kufikiri:Kwanza umesema we ni Mchungaji ungetuambia we ni Shekhe afu ukaja na hizo tuhuma za udini tusinge kushangaa sana,kuwa na mwanachama wa ovyo ovyo kama wewe ndani ya Chama makini kama Chadema ni hasara hata huko Nccr hawawezi kukupokea vyama vinavyokufaa wewe ni Magamba na mke wake cuf.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
kaige kimchezo cha Mbatia ili ukamilike kabisa
 
Chama unachohamia kinaongozwa na Mbatia,
Kuvutiwa na Chama inawezekana ikasababishwa na kuvutiwa na Kiongozi wa Chama.
Hebu tuambie, wewe ni mfuasi wa Matendo ya Bw. Mbatia so unatafuta ukaribu nae ili mfanye wote hayo matendo?
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Mtumishi usiwe mnafiki, thread yako ya ulipojiunga chadema bila kushinikizwa na kwa sababu zipi iko wapi? mbona ya kutoka ndio unatuwekea hapa na hizo sababu zako? hata hivyo hayo ni maamuzi yako binafsi hivyo ungekaa nayo na kuendelea na harakati zako tuu. Siku njema.
 
Rev. Robinson,
Umechukua uamuzi jinsi akili yako inavyokutuma,hakuna shaka.
Ulichokosea ni suala la Udini na Ukabila, hapo umekosea sana.
Anza upya kutafuta sababu za kuhama labda zipo nyingine.
Ktk chama chetu i.e. DP, suala la udini na ukabila tunalipinga siku zote.
Vyama vinavyoeneza udini na ukabila ni CCM, kwa kauli yako wewe bado ni CCM ila unawazuga CDM.
 
Kwani humu JF ni wanachama wa CHADEMA tu ?? Kuna haja gani ya kutangaza uanachama wako huku. Naomba nielimishwe Great thinkers na uanachama wa chama cha siasa ????????
 
Heshima kwako Rev Robinson,

Mkuu una uhuru wa kujiunga na chama chochote unachotaka haijalishi uakumbana na kejeli na matusi ya aina gani.

Mkuu sidhani kama NCCR itakidhi matarajio yako sana sana ukiingia huko utakumba na kero zaidi ya hizi za CDM ingawa baadhi ya sababu zako za kuhama CDM zimekaa kibaguzi zaidi.

Ushauri wangu achana na hizi siasa za vyama hizi kupeleki popote.nadhani ukuwa mtu huru ni vizuri zaidi.

wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

unatafta nini kwenye siasa?? kazi yako ni kuwalisha kondoo neno la mungu, nendaaaa wiz mtupu...
 
Back
Top Bottom