Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

Jamani kila Mtu anauhuru wa kuchagua amechagua kuhama kosa liko wapi?
Kama mtumishi wa mungu hakimbii mbona SLAAalishindwa upadre...

Yeye kashindwa chama sio shetani mpeni haki yake ....

Safi mtumishi wa mungu
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
Are you really a Rev..? Au ulikuwa una mpango pia wa kuingiza udini chadema sasa yamekushinda unaamua kukimbia? Halafu mbona we Rev unatabia mbaya unasema unamfuata Kafulila nccr? Mh we ni muanglikana?
 
Usisumbue akili zetu, unatangaza il iwejee? kwani ulivyojiunga na cdm ulitutangazia???
 
Kaka mimi binafsi nakupongeza sana kwa uamuzi wako mzuri wa kuhama chama makini,chenye sera safi na uzalendo kwa wananchi.ila mimi ninamaswali mengi ambayo yanifanya nione kwamba busara na hekima imepotea kwako.kwa sababu mtu yeyote aliye makini na mwenye huruma na nchi yake awe ni mchungaji au shehhe hawezi kuhama au kusema kwamba yeye ni ccm au chama kingine tofauti na cdm,atakuwa amepotea sana,au mchungaji wakati unafanya maamuzi ulikuwa unaumwa malaria?.naomba ukae chini tena na upime wapi unakwenda.
 
Mbatia inabidi akupeleke Mirembe kwanza kabla ya kukupa kadi ya uanachama. Si bure ukitoka NCCR utaenda Al Shabaab tu!
 
Nenda mtumishi, ukifika ukamwokoe mwenyekiti wenu aache ile tabia yake ya tangu sekondari ya kupumuliwa kisogoni
 
Huwez kuwa komando kwa mazoezi ya mgambo. CHADEMA chama cha makomando mamruki lazima wachape lapa wenyewe,mwacheni asepe zake.
 
kijana sisi ni watu wazima!! hata mtoto wa miaka 2 anaona hii kitu, watukana dini za wenzao hao hao unawakuta wameanzisha thread za kumsifia Dr Slaa

kwani ukimsifia dr slaa ndiyo unakuwa umeshajiunga chadema? pia wewe ulikuwa unataka nafasigani chadema wakakunyima?
 
Pengine na CDM nako walikuchoka.Vua gwanda na uchape lapa. Huenda wewe ndiye uliyeharibu sifa ya chama kwa hisia zako potofu za udini. Wewe ulitumwa na sasa wamekustukia.NENDA!
 
Mtumishi wa MUNGU unaacha kulichunga kundi la Bwana
unalimbukia siasa.
nyie ndio mnaowapotosha wana wa MUNGU.

R.I.P.
 
REV ROBINSON
Today 14:47
#1 Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 2nd August 2011
Posts : 25
Rep Power : 0
 
Self appointed revelend, mtumishi wa mshahara. Njaa inakusumbua, hata kutangaza kuhama kwako nikujitakia cheap popularity.
 
Kwa vile bado una udini katika utumishi wako wa mungu unaoufanya ni afadhali hata ungehama dini na kwenda dini nyingine, hasa kurudi ya jadi, maana wewe inaelekea muamaji. Ila angalia hao unawahudumia usije ukawapotosha kwa kutowafikisha nchi ya ahadi kwa kuhama hama kwako.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Umeamia NCCR Mageuzi? kijana utageuzwa we haya weee!
 
Hawa ndo jamii ya watumishi wa matumbo yao!!hakuna mtumishi wa Mungu mpuuzi kama wewe. Unatumikia magamba halafu unajidai mtumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom