Nimeamua kuhama nyumba maneno maneno ya mama mwenye nyumba

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
1470555_10151724882856012_1354626306_n.jpg

Nimeamua kuhama nyumba niliyo kuwa naishi baada ya mama mwenye nyumba kunizushia ya kunizushia wakati sijawahi hata ingiza binti kwenye ghetto langu, nikaamka saa 3 maneno, nikirudi saa 2 usiku maneno nikirudi saa 5 usiku maneno, nikijipikia ugali na nguru maneno yaani shida tupu huyu mama mwenye nyumba sijui lengo lake nini. Nimehamia mtaa wa 3 toka nilipo kuwa nikiishi.
 
Kwani ndani ya sheria zake alisema usiingize dem nyumbani kwake?
 
1470555_10151724882856012_1354626306_n.jpg

Nimeamua kuhama nyumba niliyo kuwa naishi baada ya mama mwenye nyumba kunizushia ya kunizushia wakati sijawahi hata ingiza binti kwenye ghetto langu, nikaamka saa 3 maneno, nikirudi saa 2 usiku maneno nikirudi saa 5 usiku maneno, nikijipikia ugali na nguru maneno yaani shida tupu huyu mama mwenye nyumba sijui lengo lake nini. Nimehamia mtaa wa 3 toka nilipo kuwa nikiishi.

me ntaama mwisho wa mwez
 
safi sana.umeamua kuepusha maneno
 
Huyo mama mwenye nyumba ana mume?

Kama hana basi ujue ilikuwa na mbinu ya kukupa shavu la kuwa baba mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom