medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,323
- 1,286
Ninaomba kuuliza kusoma udemy kozi kwa kulipia faida yake ukilinganisha na kusoma bure. Vipi vya ziada unapata ukilinganisha ukiangaika na tutorials?Mkuu, ili uweze kujifunza Programming vizuri inabidi ujue ni kitu gani unataka kukitengeza kwa muda huo maana mambo ni mengi sana na ni ngumu sana kujua kila kitu. Hizi languages ni kama tools za kutusaidia kutatua tatizo letu tulilonalo. Cha msingi jitahidi uweze kumaster japo lugha mbona. Wabongo wengi ni Jack of all trades, master of none. We piga code tu. Ukiweza nunua course za Udemy zipo vizuri mno