Nimeamua kuachana na Biashara ya kurusha Movie na Muziki nauza vifaa vyote

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Baada ya kukosa muda wa kusimamia biashara yangu tajwa hapo juu naamua kupiga mnada vifaa vifuatavyo vikiwa full package

1. Computer desk top had dsk 540gb ikiwa na full movie na miziki ya aina zote
2. Redio subffer old model kubwa aina ya kodjec 1
3. stand ya chuma kwa jili yakuwekea vifaa hivyo.

BEI NI YA HASARA KWA ANAECHUKUKUA JUMLA VYOTE NI 250K FIXED
LOCATION NI BUHONGWA MWANZA.
NCHEKI KWA NO 0747703831

FOR SERIOUS BUYERS ONLY
 
bidhaa ni hioo
20210731_083324.jpeg
 
Back
Top Bottom