Nimeamua kuacha shule ili kuunga mkono juhudi za mwalimu maana yale anayofundisha ndiyo niliyokuwa nataka

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,634
2,000
Kwa jinsi hali na mazingira ya shule pamoja na masomo ninayosoma nimeona bora niache masomo

Ili kulinda heshima yangu juu ya shule hii na maisha yangu kwa ujumla nimeona bora nifanye hivyo,pia kile ambacho nilikuwa nakitafuta masomoni huyu mwalimu wangu anafanya kwa ufanisi mkubwa...sasa kuna haja gani ya mimi kuendelea na masomo?.
Nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu nimeamua kuacha shule
 
Mkendo

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
2,846
2,000
Mimi mwenyewe ntakuwa na Mkutano na waandishi wa habari..

Kuelezea azma yangu ya kuelekea Likizo kipindi hiki cha December...

Kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za wanafamilia kukutana kipindi cha Christmas..na Mwaka Mpya..
 
Bandiwe

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
9,546
2,000
Kwa jinsi hali na mazingira ya shule pamoja na masomo ninayosoma nimeona bora niache masomo

Ili kulinda heshima yangu juu ya shule hii na maisha yangu kwa ujumla nimeona bora nifanye hivyo,pia kile ambacho nilikuwa nakitafuta masomoni huyu mwalimu wangu anafanya kwa ufanisi mkubwa...sasa kuna haja gani ya mimi kuendelea na masomo?.
Nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu nimeamua kuacha shule
IMG-20171201-WA0034.jpg
 
serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
6,936
2,000
Hata Mimi nimeamua kuacha masomo yangu COET najiunga na VETA kuunga mkono juhudi za serikali ya viwanda... Hahahah
 
mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,564
2,000
Haa haa haa hata mimi nimeamua kuacha kuoa ili kuunga mkono juhudi za girl friend wangu, maana nilichokuwa nakitaka kwenye ndoa ndicho anachonipa kwenye huku tupo sasa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom