bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,207
- 301
Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa.