Naona ulitest kama wew ni domo zegenilimtongoza kwa kutest mitambo kama iko poa
Samahani kama nimekukosea ila Heading ya uzi wako imenikumbusha huo mstari wa Stamina ndio maana nikauweka hapo ndugu yangu tatizo umechukulia personal.....jiheshimu we K chakavu
Kama upo kwenye hilo kundi njoo pm
Subiri ahudumiwe mwenzako nawe utafuataMbona nilifika pm muda ule ule??au nije tena! !
Subiri ahudumiwe mwenzako nawe utafuata
siwezi kumuacha mwanamke, yule nimemuweka pending
Hutaniwi!me niko dodoma chuo, vp nkuchek pm ?
si utanifungulia uzi!daaa nkajua maji yamenimwagikia jangwani
Mabeberu watuache kwanza tujenge nchi kwa pato la ndani 😅Daaah! bongo kama ulaya!