Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika ni ukweli pasipo shaka kuwa Wanasisa walio wengi hawana hofu ya Mungu.Wamekuwa wakimtaja Mungu katika viapo vyao lakini hawamwogopi huyu Mungu katika matendo Na maamuzi yao.Wanasiasa wamekuwa wanadiriki kusema uongo kwa kuwadanganya wananchi ili wawape ulaji kwa kuwambia kuwa watawatekelezea shida zao huku wakijua hawatafanya hivyo .Wanasiasa wamekuwa wanawatesa wananchi kwa kutumia mamlaka waliyonayo hata Mungu hawamwogopi .Hakika kuanzia leo sitamwamini mwanasiasa kwani hana hofu ya Mungu.