Nimeamini vice versa is true CCM vs CHADEMA

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,806
1,558
Amani iwe kwenu
Siku za nyuma jamii iliamini kabisa kwamba CCM ni sehemu ambayo mafisadi, watu walioshiba wanapatikana na kuishi huko kwa kujivinjari, na Chadema ilioneka ni chama kinachochukia kabisa ufisadi na kusimamia upande wa wanyonge (masikini) na wanyonge walijinvinjari sana huko.

Leo hii CCM inmekuwa kimbilio la wanyonge wenye njaa ili wajivinjari huko, na Chadema imejipanga vyema kuhakikisha hawa madoni inawapokea na kuhakikisha wanajivinjari wakiwa huko na wanaishi salama huku wakitafuna mavumba yao taratiiiiibu bila bughuza.

Itoshe kusema ustawi wa siasa yetu kwa sasa umefikia hapo na tujifariji kwa kusema "inapendeza"
 
Back
Top Bottom