Nimeamini tabia nikama ngozi katu haiwezi badilika

King Innocent

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
1,001
623
Wakuu natumaini wote niwazima wa afya. Kweli nimeamini rangi nyeusi ikawa nyeupe. Ninampenzi wangu nimedumu nae zaidi ya mwaka mmoja, anajiheshimu na pia anatabia nzuri, tatizo la mpenzi wangu huwa na gubu na kununa bila sababu za msingi na zaidi ugomvi wetu uko ktk mawasiliano , anataka tuwasiliane hata mda wa kazi nikimwambia asubri mda wa lunch basi hununa hata wki moja na nikimpigia hapokei, nijana 2 nilikuwa bafuni akanipigia cm ikaita ikaata nilikamtafuta bdae hataki kupokea sim, nimemtext hataki kunielewa, mara nyingi nimejaribu kummweleza tabia hi siipendi na kuniahidi atabadilika lakini akikaamda hujisahau, nimekata shauri ya kumwacha najua kila binadamu anamapungufu yake lakini kwakweli siwezi kuvumilia, nahitaji ninapokosa niambiwe kosa langu nijirekebishe na si kununiwa bilasababu.
 
Mambo madogo kama hayo, bado una dhamira ya kumuacha, je utaacha wangapi dogo? After-all, bado huyu ni mpenzi tu, je ukioa itakuwaje! Nenda naye taratibu, mtaelewana tu.
 
nikweli unayosema lakini namimi naumia kununiwa pasipo sababu za msingi, sasa niwapenzi 2. 2kiwa kwenyendoa ndo nawaza itakuwaje sababu nishakaa nae mara nyingi na kunihaidi ataiacha tabia hi na mabadiliko siyaoni, nashukuru kwa ushauri wako ntatafakari.
 
Wapenzi wote wawili wana tabia hii ya kununa nuna bila sababu Helper?
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio hawezi kukaa muda bila kusikia sauti yako, vumilia tu.

Huenda bado ana ule ushamba wa mapenzi ya mwanzoni ila akikuzoea atakuelewa.
 
Sure...usimwache bro....mkiwa kweny good mood uwe unamwambia kwa upole kuwa hupend io tabia..ata change tu...issue iliopo apo hana confidence..mda wote anahc kama anaibiwa...so mfanye akutrust even when ur phone is off
 
Nashkuru mkuu, umenipa darasa, nikweli im first lover kwake,
 
Sure...usimwache bro....mkiwa kweny good mood uwe unamwambia kwa upole kuwa hupend io tabia..ata change tu...issue iliopo apo hana confidence..mda wote anahc kama anaibiwa...so mfanye akutrust even when ur phone is off

poa mkuu, nimekupata nitafanya hivyo , japo nimekaa nae zaidi ya mara nne tukijadili tatizo hili hua anabadilika kwa muda, lada niendelee kuvumilia na huenda akabdilika.
 
Wakuu natumaini wote niwazima wa afya. Kweli nimeamini rangi nyeusi ikawa nyeupe. Ninampenzi wangu nimedumu nae zaidi ya mwaka mmoja, anajiheshimu na pia anatabia nzuri, tatizo la mpenzi wangu huwa na gubu na kununa bila sababu za msingi na zaidi ugomvi wetu uko ktk mawasiliano , anataka tuwasiliane hata mda wa kazi nikimwambia asubri mda wa lunch basi hununa hata wki moja na nikimpigia hapokei, nijana 2 nilikuwa bafuni akanipigia cm ikaita ikaata nilikamtafuta bdae hataki kupokea sim, nimemtext hataki kunielewa, mara nyingi nimejaribu kummweleza tabia hi siipendi na kuniahidi atabadilika lakini akikaamda hujisahau, nimekata shauri ya kumwacha najua kila binadamu anamapungufu yake lakini kwakweli siwezi kuvumilia, nahitaji ninapokosa niambiwe kosa langu nijirekebishe na si kununiwa bilasababu.
dawa ya matatizo ni kuyatatua na si kuyakimbia,hilo ni tatizo dogo sana cha muhimu kaa naye mrekebishe bila kukata tamaa may be one day ataacha.
huwezi jua huyo utakayekuja kuwa naye atakuwa ana mapungufu yapi so utaacha wangapi?
 
Mkipendana lazima muelezane nini haupendi. Mi najua mpenzi wangu hapendi ubishi au dharau imebidi nivikariri ili nisimkwaze. Na wewe si umwambie nini hautaki tu.
 
uwe unamupugia mwenzako cyo kumupotezea je ingekuwa mnaskype ingekuwaje?
Hali hiyo cm yako ya kitochi
mimi nachukia sana na ukiwa humupigii simu nitampa mudogo wake tajiri awe mupenzi wake wawe wanatembea
 
nishamwambia mkuu ila anajirekebisha kwa mda mchache,
 
uwe unamupugia mwenzako cyo kumupotezea je ingekuwa mnaskype ingekuwaje?
Hali hiyo cm yako ya kitochi
mimi nachukia sana na ukiwa humupigii simu nitampa mudogo wake tajiri awe mupenzi wake wawe wanatembea

poa nimekupata.
 
Back
Top Bottom