Nimeamini Serikali iko desperate sana na hela za Mabeberu

Yaani unafikiria mijusi😂
1606421564158.png

Ulitaka nifikirie nini mkuu? Au kwa sababu wewe hufahamu thamani yake?
 
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
Na hizo trilion.7 haziwezi kutoka kwa sababu Lisu yupo jikoni huko anawaeleza kwa ukaribu kabisa usanii unaotokea bongo kwa hiyo nikama tu wamejiongezea mzigo wa kuwalipa hao mamluki wao waliowanunua
 
Na hizo trilion.7 haziwezi kutoka kwa sababu Lisu yupo jikoni huko anawaeleza kwa ukaribu kabisa usanii unaotokea bongo kwa hiyo nikama tu wamejiongezea mzigo wa kuwalipa hao mamluki wao waliowanunua
Kuna kibabu kimoja huwa tunaambiwa kilishinda kwa kishindo ila cha ajabu na cha kushangaza hicho hicho kishindo kinamshinda.
 
Hahaha dunia nzima inakabiliana na COVID-19 nami naunga hoja COVID-19 iondolewe Chadema mara moja.

Chadema fukuza COVID-19 hao.
 
Serikali haiko desperate kwa sababu Tanzania tuna pesa. Hatuwezi kuwa watumwa wa kufadhiliwa mipango yetu wenyewe kwa kuwategemea. (hatuwezi kuwa omba omba). Wewe kaa mkao wa kula matango tu Tanzania uongozi wake unajitambua.

"... baniani mbaya kiatu chake dawa ..."

Mhenga alietunga msemo huu Mungu ampe kilicho bora popote alipo

Sifa ya mojawapo ya Muungwana ni kuwa na shukuran na sio kiburi kwani wahenga walisema

"... kiburi si Uungwana ..."

kwa sababu

"... kiburi hakijengi bali kinabomoa ..."


JamiiForums784649547.jpg
 
Fikra za kitumwa haziwezi kubadilika kutoka aina ya watu flani flani. Wamezaliwa watumwa na watakufa watumwa.

MAGUFULI: SISI SIO MASKINI WALA OMBA OMBA HATUTAKI MISAADA ILA TUTAWAPA WAZUNGU MISAADA - YouTube
😁😁,na wewe ulivyopunguani ukakubali!Tunaweza tukawa na rasilimali nyingi lakini tukakosa soko maana wenyeww hatuwezi kutumia!Hatuna ujuzi huo!So Mabeberu wakikaza itabidi tutegemee kilimo tu!
Hizi nyingine ni porojo tu!watu mnasaidiwa hadi kujenga matundu ya vyoo halafu mnajimwambafy!
 
Back
Top Bottom