Elections 2010 Nimeamini sasa mwanza wanakula minofu na si masalio kama zamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Ukweli unabaki ile minofu waliokuwa wakichukua wazungu na kutuachia sie kula mabaki ilituathiri sana sana hata kwenye ufahamu wetu na wattoto zetu mashuleni..nasema hivi nikiimanisha kitendo cha wasukuma kuamua kumwondoa masha na wenzake kinaonyesha jinsi gani minofu ya samaki inavyofanya kazi na sasa wanataka kuwa na meya wa upinzani..hili najua litawashtua sana wana CCM lakini ukweli utabaki mlitutesa sana na kutulisha makapi sasa tumeamua kuamka......

Mwisho
Nawatakieni uchaguzi mwema wa umeya wa mwanza na kufunguliwa ufahamu si hapo tu bali katika kila sekta mnaotakiwa kudai haki zenu kila la kheri
 
Naam mkuu, bila matatizo huwezi kujifunza seriously. Naamini watu wa mwanza walikuwa wanapata shule kwa mda mrefu. Masha ameng'oa vitasa na kubeba thamani za ofisi, bado hadi apate kichaa, watu watajua siasa ni nini.
 
wabeja sana mami!!......ngojaga nakowele obese banhu ba ng'wanza totena nchezo!!! bhebhe lekaga.....

no meya wise alenga chadema......

ngeshage o' sengi wane.....makaribuni mwaza wajameni!!!
 
Masha na usfisadi wote aliokwisha ufanya katika nchi hii bado ana kwapua mpaka vitasa na samani za ofisi ya mbunge? Kumbe fisadi ni fisadi tu akikosa mabilion ana kwapua hata thumuni! Anafikiri kukosa ubunge ndo mwisho wake wa maisha ya kisiasa? Arudi kwenye chember akajipange upya kutafuta deal milegezo kweye ofisi za umma!
 
wabeja sana mami!!......ngojaga nakowele obese banhu ba ng'wanza totena nchezo!!! bhebhe lekaga.....

no meya wise alenga chadema......

ngeshage o' sengi wane.....makaribuni mwaza wajameni!!!

YAANI NILITAKA KUENDELEA ROHO WA MUNGU AKANIAMBIA BASI MSAMEEHE MASHA...kwa kweli minofu sasa inatusaidia na natangaza wajameni mapanki sasa basi tusikubali na samakii zetu kupelekwa na wale wa russia kwenye ndege tumekalia uchumi wenyewe hilo lisikubaliwe hata kidogo......

wasukuma oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!!!
 
Unajitahidi ila ngoja nikurebeshe kwenye red
nchezo=Wihebha
makaribuni=tuliho
wajameni=wang'wise

Nulanganga unene kisukuma sha mkaya gete.
 
Oyeeeeee. wabeja sana
 
Unajitahidi ila ngoja nikurebeshe kwenye red
nchezo=Wihebha
makaribuni=tuliho
wajameni=wang'wise

Nulanganga unene kisukuma sha mkaya gete.

we unaongea cha ndani mno.....hahahahaha
 
Unajitahidi ila ngoja nikurebeshe kwenye red
nchezo=Wihebha
makaribuni=tuliho
wajameni=wang'wise

Nulanganga unene kisukuma sha mkaya gete.
sijui ila mimependa mnavyoandika hapa! Lugha ya BABAMKWE hiyo! HONGERENI SANA.
 
kila kitu kina wakati wake, eshiku jabo jashikile no bise tobanogile gete
 
Alichokifanya Masha hakina neno jingine zaidi ya 'Very primitivu behaviour'. Huyu hastahili kuwa kiongozi hata wa kitongoji. Nitamshangaa kiongozi yeyote, zaidi ya ninavyomshangaa Masha, kama itatokea siku moja huyu akapewa kazi ya kuwaongoza binadamu.

Nasikia amakuja Dar kwa nia ya kuondoa mlango wa wizara ya mambo ya ndani kwa maelezo kuwa mlango huo aliuweka kwa pesa yake.
 
wabeja sana mami!!......ngojaga nakowele obese banhu ba ng'wanza totena nchezo!!! bhebhe lekaga.....

no meya wise alenga chadema......

ngeshage o' sengi wane.....makaribuni mwaza wajameni!!!

wakong'wise elelo wanihna raha gete....nale natamanile balemo ba sukuma mu jf gashi balemo binge...twandye le siredi la maneno ga chisukuma........dah! kumbe bado sijasahau!
 
True story. Ila halmashauri itakayoundwa,itazame namna ya kuzishawishi benki za biashara zifungue tawi au wakala kule visiwani. Maana wakati mwingine hawa wazalishaji wa minofu uwa wanafuata samaki visiwani wakiwa na pesa nyingi,na mara nyingi uishia kuporwa na majambawazi! Ila nina matumaini kubwa halmashauri ya jiji chini ya CHADEMA itafanya ilo zoezi,ili wanaMwanza na taifa kwa ujumla tuendelee kula minofu ya samaki.
 
Ukweli unabaki ile minofu waliokuwa wakichukua wazungu na kutuachia sie kula mabaki ilituathiri sana sana hata kwenye ufahamu wetu na wattoto zetu mashuleni..nasema hivi nikiimanisha kitendo cha wasukuma kuamua kumwondoa masha na wenzake kinaonyesha jinsi gani minofu ya samaki inavyofanya kazi na sasa wanataka kuwa na meya wa upinzani..hili najua litawashtua sana wana CCM lakini ukweli utabaki mlitutesa sana na kutulisha makapi sasa tumeamua kuamka......

Mwisho
Nawatakieni uchaguzi mwema wa umeya wa mwanza na kufunguliwa ufahamu si hapo tu bali katika kila sekta mnaotakiwa kudai haki zenu kila la kheri

...Tusahihishane kidogo. CCM haikumlisha mtu mapanki na haitaweza kufanya hivyo asilani.

...Watanzania wengi hupenda vya bure au vya rahisi sana. Hii inajidhihirisha pia kwenye bidhaa feki tunazopenda kununua, ili hali, hazidumu hata kidogo.

...Ndugu zangu wa mwanza na maeneo mengine wanaokula ma-punk wangeweza kuyaepuka, ila wameamua wenyewe na hawakushurutishwa.

...Kama wengine wanaweza kula miguu na utumbo wa kuku, koromeo na mapafu ya ng'ombe......kwanini wenzao wasile ma-punk?

...Inaweza kuwa ni umasikini, kutaka vya rahisi, utamaduni, n.k

...Nchi hii watu wakichagua viongozi bomu...ccm....wakijenga shule na kuacha kuweka madawati...ccm...wakiacha kujenga nyumba za walimu...ccm...

...People! we need to be serious at times. We are our very own enemies!
 
Unajitahidi ila ngoja nikurebeshe kwenye red
nchezo=Wihebha
makaribuni=tuliho
wajameni=wang'wise

Nulanganga unene kisukuma sha mkaya gete.

Dah Nashukuru mmenipa ya kuanzia kwa baba Mkwe!!!!!!!!!!!!!
 
...Tusahihishane kidogo. CCM haikumlisha mtu mapanki na haitaweza kufanya hivyo asilani.

...Watanzania wengi hupenda vya bure au vya rahisi sana. Hii inajidhihirisha pia kwenye bidhaa feki tunazopenda kununua, ili hali, hazidumu hata kidogo.

...Ndugu zangu wa mwanza na maeneo mengine wanaokula ma-punk wangeweza kuyaepuka, ila wameamua wenyewe na hawakushurutishwa.

...Kama wengine wanaweza kula miguu na utumbo wa kuku, koromeo na mapafu ya ng'ombe......kwanini wenzao wasile ma-punk?

...Inaweza kuwa ni umasikini, kutaka vya rahisi, utamaduni, n.k

...Nchi hii watu wakichagua viongozi bomu...ccm....wakijenga shule na kuacha kuweka madawati...ccm...wakiacha kujenga nyumba za walimu...ccm...

...People! we need to be serious at times. We are our very own enemies!

Vapour tupu hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom