Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,591
- 30,426
Ukweli unabaki ile minofu waliokuwa wakichukua wazungu na kutuachia sie kula mabaki ilituathiri sana sana hata kwenye ufahamu wetu na wattoto zetu mashuleni..nasema hivi nikiimanisha kitendo cha wasukuma kuamua kumwondoa masha na wenzake kinaonyesha jinsi gani minofu ya samaki inavyofanya kazi na sasa wanataka kuwa na meya wa upinzani..hili najua litawashtua sana wana CCM lakini ukweli utabaki mlitutesa sana na kutulisha makapi sasa tumeamua kuamka......
Mwisho
Nawatakieni uchaguzi mwema wa umeya wa mwanza na kufunguliwa ufahamu si hapo tu bali katika kila sekta mnaotakiwa kudai haki zenu kila la kheri
Mwisho
Nawatakieni uchaguzi mwema wa umeya wa mwanza na kufunguliwa ufahamu si hapo tu bali katika kila sekta mnaotakiwa kudai haki zenu kila la kheri